OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wakuu habari,
Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu.
Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za mashabiki zaidi ili kuwaweka karibu kwa kufanya siasa za kariakoo ili mradi kuwafurahisha mashabiki ambao ndio wapiga kura 2025,
msimu huu angalia usajili wa Yanga kaletwa Chama, Bareke na Dube kisiasa zaidi na sio kiufundi. Ilimradi kuwakomoa simba ili wanayanga tufurahi pia kuwavuta mashabiki wa chama jangwani. Unamsajili Bareke halafu unampa mkataba wa miezi sita na huna kazi naye, hivyo hivyo kwa dube na chama hawakuoaswabkuwa Yanga.
Kuelekea 2025 viongozi wamekuwa wakitoa misaada mbali mbali yenye mlengo wa kisiasa mfano ujenzi wa zahanati kongwa n.k
ukiangalia kiufundi utaina kuna mtu anautaka ubunge, na ubunge kuupata unahitaji mikakati, na mikakati yenyewe ndiyo hiyo.
Akili za viongozi wetu Yanga zinawaza siasa zaidi kuliko mpira, mfano sakata la Ally kamwe na Manara sisi wanayanga tunamuona Manara ni Liability ila kwa Hersi anamuona ni ASSET maana anawatu ana mashabiki wengi ambao ni wapiga kura. Mwisho wa sikubmigogoro ikaanza mpaka Ally kamwe akajiudhuru ghafla
Tamaa ya madaraka kisiasa ndio imetufikisha hapa tulipo, leo hii page ya Yanga inatumika kumsifia na kumpingeza kabudi.
Mtanielewa baadae msije kusema sikuwaambia
Kuondolewa kwa Gamond sababu kubwa inaweza kuwa ni kuwakataa watu wa Hersi magarasa ambao ni mtaji kwake kisiasa (manarq, chama, Bareke n.k)
Nawasilisha.