This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Nini kimekuleta humu mpumbavu kabisa wewe.Nikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??
Muulize Huyo kichwa boga humu kwanza kafuata Nini.Ukiachana na utumbo wa mleta mada. Hii comment yako ni utumbo namba mbili. Hata kama sifaidiki kifedha sisi ndio burudani yetu, tunapopata muda wa kupumzika hatutaki kuongelea upuuzi wa siasa tunakuja kwenye michezo kupata birudani na kupooza mioyo baada ya mihangaiko.
Weka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.
1) mechi ya Yanga vs Simba, timu ya Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko Simba, je hao viungo waliazimwa kutoka timu nyingine?
2) unasema kuwa Yanga haina viungo watengenezaji, lakini mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne, ikiwa imefunga magoli matano huku ikitengeneza nafasi zaidi ya 15 za magoli
3) Yanga magoli matano wameyapataje kama hakuna wafungaji
NakaziaNikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??
Hivi wewe huna comment zaidi ya hii. Whatever the topic majibu yako ni yale yale. Usipotezee watu muda wao na kujaza servers bure.Mimi ni YANGA damu ila VIONGOZI WA YANGA NI MATAPELI
Yanga amecheza mechi mbili tu za ushindani na amefunga goli mbili tu,Simba na ASAs,hizo goli tano za wapi
Unadhani wana akili hao?Weka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.
1) mechi ya Yanga vs Simba, timu ya Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko Simba, je hao viungo waliazimwa kutoka timu nyingine?
2) unasema kuwa Yanga haina viungo watengenezaji, lakini mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne, ikiwa imefunga magoli matano huku ikitengeneza nafasi zaidi ya 15 za magoli
3) Yanga magoli matano wameyapataje kama hakuna wafungaji
Unapataje pesa kwa kuileta hapa JamiiForums?Wengine ni fani zetu hizi mwisho wa siku zinaleta ugali wa familia mezani,Are there bro?
Kaa kimya hujaulizwa wahed!Mimi ni YANGA damu ila VIONGOZI WA YANGA NI MATAPELI
Nilijua mleta uzi una akili timamu kumbe una mapungufu ya utimamu wa akili au pengine usimba wako unakufanya ukose akili. Yanga kamfunga Azam goli mbili, kamfunga Asas goli mbili na pia kamfunga Kaizer chief goli moja. Katika mechi alizocheza ni mechi moja pekee hakuweza kupata goliYanga amecheza mechi mbili tu za ushindani na amefunga goli mbili tu,Simba na ASAs,hizo goli tano za wapi
Mada inahusu anguko la Yanga, ila ukiingia ndani unakutana na bla bla nyingine za simba!!Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Ni suala tu la muda atatamani na yeye huu upupu wake ufutwe na Mods, kwa sababu tu ya aibu.
Tatizo tulilonalo kama taifa ni uhuru wa kujieleza umezidi sana!!Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Tatizo tulilonalo kama taifa ni uhuru wa kujieleza umezidi sana!!
Mkuu njoo hukuWakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.