Anguko la Yanga

Hivi huyu mchambuzi feki bado yupo jukwaani?
 
Na ni kweli imetengeneza nafasi nyingi
 
Sawa boss.
 
Wanazijua changamoto nyingi kuliko wewe
 
Shida pale simba ni Mo tajiri makelele
 
Yanga ni timu iliyokamilika mno.

Japo nao kidogo wana changamoto mbili tu...

1. Kiungo mkabaji WA ulinzi No6
MBADALA WA BANGALA.
Aucho ni 8.

2. Wanahangaika sana kupata MBADALA WA Mayele.
Na ubahili uliwaponza KUMPATA Mahope.
una akili kiasi....ukikazana utakuwa mcha-goat mzuri
 
sasa kama kuandika kwenyewe huwezi,utajuaje kuwa yanga haifanyi vizuri? he u angalia bakari nondo umemuandikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…