Anguko laja WCB...!

Mchawi mkubwa wee ataanguka babu yako sio wcb!!!
 
Searchini jina Diamond humu...

Labda server ziwe zimebadilishwa tu...


Haahaahaa...
 
Wabongo bhana.... kuondoka msanii ndo mvurugano??? Kwan lil wayne alipotangaza kuachana na Young Money wakina drake waliondoka au kundi lishakufa? Aliyeandika huu uzi na uhakika kabisa hana kabisa knowledge ya mziki... ila kaandika ushabik tu... ni hvo tyuuu angalia hata lile kundi la little mix... kaondoka Camila Cabello lakin hatujasikia chokochoko zozote kuwa little mix ishavunjika.... Tujaribu kuandika vitu kwa research
 
WCB ilibebwa na nyota ya kudhalilisha wanawake,bosi kakwama kwa mwanamke wa shoka asiyedhalilishwa kiboya.

Chezea ua la bosslady

Nasubiria mapovu

Ikikuuma meza wembe
nakunywa kisu imeniuma
 
wape ushauri na kuwatabiria mema, naona unasubiri mabaya tu
 
Lilikuwa ni swala la muda tu....Sasa hivi waliobaki wataanza kugawana mbao
 
WCB ni Brand, if you don't fit the brand unakaa pembeni.

Toka mwanzo watu hawakuukubali uamuzi wa Mavoko kujoin WCB kwa sababu yeye alikuwa ni kichwa kinachoweza kutengeneza Brand nyingine.

Naomba tu wasimkwamishe kwenye kazi zake nje ya WCB, wamwache tu.

Na kuhusu WCB kufa, muda ukifika itakufa.
 
daaa ngoja nmwambie na bro asepe mana pale WCB sio poa
 
Wakati hio huo muziki kwa kiba umekuwa mgumu kaamua kujaribi kwenye soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…