Animal science au wildlife!?!

Animal science au wildlife!?!

Sir.Chemi

Member
Joined
Mar 18, 2012
Posts
51
Reaction score
1
Eti jamani kati ya 'wildlife and management' na 'animal science' ni kozi ipi inayolipa(yenye ajira) hapa Tz.
 
Animal science ni rahisi kupata ajira kuliko wildlife mkuu but ajira ni kupambana ww mwenyewe
 
ndugu soma kama kwa ajili kuelimika tu, usisome eti kwa ajili uje upate ajria !
 
sio lazima uajiriwe mkuu ...fikiria na kujiajiri!!! Au unapenda mishahara ya laki 3 na nusu kwa mwez!!? Tuulize wenzio tuliomaliza chuo tutakwambia!!
 
sio lazima uajiriwe mkuu ...fikiria na kujiajiri!!! Au unapenda mishahara ya laki 3 na nusu kwa mwez!!? Tuulize wenzio tuliomaliza chuo tutakwambia!!
ndio mkuu lakini utawezaje kujiajiri bila mtaji! Nannadhani mtaji unapatikana through kuajiriwa au?
 
Piga animal science... Utaajiriwa na pia utajiajiri mwenyewe. Me napiga animal science i love it
 
Piga animal science... Utaajiriwa na pia utajiajiri mwenyewe. Me napiga animal science i love it

Samahani naomba unijuze kidogo hv nikipiga animal science naweza kujiajiri kivipi?
 
Back
Top Bottom