Anjella kweli ana sauti nzuri

Siko upande wowote wa makundi ya muziki. Lakini kama mnadhani ni rahisi kuwa msanii mkubwa, jaribuni nyie kuimba.
 
Nimepata wasaa wakumsikiliza huyu binti kwenye wimbo kwakweli anaimba vizuri hata kama ana sound kama Ruby sio tatizo ila anaimba vizuri sana.....

Chamsingi astick kwenye kuboresha muziki wake asisikilize watu maana mwanzo haujawai kuwa rahisi hata kidogo!
 
Siko upande wowote wa makundi ya muziki. Lakini kama mnadhani ni rahisi kuwa msanii mkubwa, jaribuni nyie kuimba.
Kabisa aisee Mimi naimba ila nishakata tamaa kua msanii mkubwa nafanya shughuli zingine tu huku nikiimba kama hobby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…