Ankali(anko)na simu yake ya mezani

Ila mkuu hii ni JF photo sio jukwaa la vichekesho kusema imewekwa achekwe
Mkuu mimi sina cha kumcheka nishatembea nayo hiyo kwenye gari hadi bar unajua unalist namba kwenye hilo li simu afu hainapigwa na ni kazi kubwa
 
una maneno mengi mno na hiyo inapelekea Numbisa kukuita shosti, hatujui ni shost kweli au laah
 
You're not intelligent.
 
una maneno mengi mno na hiyo inapelekea Numbisa kukuita shosti, hatujui ni shost kweli au laah
Inamaana haji manara Ni shost au??? Kuwa na maneno meng bas weng wangeitwa hvyo tumia fikra zako vizur kufikir kile usichokijua na tumia upeo wa macho yako vizuri kuona vile usivyo viona,[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kumbe yalikuwa mamihayo tu hata kapicha huna

Inawezekana kweli nyie mligombania mabwana na huyu mwanike wa mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…