TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

R.I.P Mh.Anna Mgwira.Poleni Watanzania wote.
 
Rest in peace mama Anna Mghwira.
Poleni sana mloguswa na msiba huu.
 
Pole Kwa wafiwa.

Very nice woman, I remember to once worked with.
 
Tumepoteza mzalendo miongoni mwa wazalendo. R.I.P mama.
 
View attachment 1863389
Kirusi cha Delta kinatuhumiwa kwa kifo hicho japo chenyewe hakijathibitisha
Duh, halafu waporipori waliozoea kula mizizi wanatulazimisha tile mizizi badala ya kuvaa barakoa na kujikinga na ugonjwa wa Corona ikiwemo chanjo.

Hebu zianze haraka nikadungwe sindano kubishana na waporipori utaishia kufa kabla ya wakati wako kama bwana yule
 
Jifunzeni kuishi na watu.

Watu walipokuwa wanashangilia kifo cha meko ilikuwa siyo ubaya.

Umeona humu ndani kuna mtu anashangilia kifo cha huyu mama?

Kama una akili kichwani utaelewa.
 
R.I.P mama mama
Huyu nlikuwa namuadmire
Ni symbol halisi alikuwa inaonesha
Alikuwa akiishi maisha ya kiuhalali
Hakuwa mpigaji,hakuwa na tamaa
Licha ya kuwa kiongozi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…