TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Huyu marehemu ndiyo kamsababishia Sabaya avune alichopanda
 
Ka mama kalikuwa bomba sana!! hajaacha mtoto wa kike huyu?? mleta mada!! halafu mbona hamuongelei mgane mmemzarau kiasi hiki??mleta mada baba yuko wapi??.....huyo na binti yake yuko wapi?

Mghwira aliolewa mwaka 1982 na Shedrack Maghiya ambaye sasa ni marehemu, na walijaaliwa watoto watatu wa kiume ambao ni Fadhili, Peter na Elisha
 
Mghwira aliolewa mwaka 1982 na Shedrack Maghwiya ambaye sasa ni marehemu, na walijaaliwa watoto watatu wa kiume ambao ni Fadhili, Peter na Elisha
Daaa!! Nampa pole Mama wee!! kwa hiyo Mama alizaa hasara tupu!!! .....hakujizaa wajameni Mwee!! raha kuzaa vitoto vya kike bana angepata heshima sana! na umaarufu maradufu!! kwa hiyo pale wodini aliteseka Mwenyewe???

Vitoto vya kike vingekuwa karibu ya Mama yao ktk kumuuguza!! asingekufa kirahisi namna hiyo!! kwa sababu Madaktari vijana wa kiume, Ma-nurse wa kiume Laboratorians, Madaktari wakuu wote!!

wangekizungukia kitanda cha Mama kila saa ,na kukomaa na Mama mpaka kieleweke!! wangepima hata visivyopimika!! ili Mama aokoke tu!!...Yaani ukiwa na mtoto wa kike km ivi, kufa!! nakwambia ni nadra sana!

na km ikitokea hapo ujue. Mungu kapenda kweli! ila mie naomba niwashauri tu wana JF wenzangu mjitahidi sana mpate watoto wa kike!! hapo ni umepata shamba Kivuono!!!! wapige shule ya uhakika!!

Mambo siku hizi yanakuja ki -utofauti sana!! tena kwa Baba!! Mtoto wa kike ndo mambo yote kabisaaaa!! wanaozaga kwa Baba sijui kwa nini vile paleee??? halafu wana mwamini Baba sana kuliko Mama yao....

Mara ya kwanza nilidhania ni kujifanya tu, heee!! ukawa mwendelezo!! mara wanaishi utadhani mshikaji nikachunguza kumbe siyo! heee!! mara Baba anaaminiwa kuliko pitiliza!! jamani..... sijawahiga kupata jibu! mwenye kujua nifahamisheni ......
Tena familia nyingi ziko hivo kama Diamond na *****!! Wema Sepetu na Baba yake!....Naniliu yule mzee chifupa alikuwa anahangaika na mwanae yule Mzee!! mpaka kiasi cha kulala makaburini.....nkasema huyu sasa anachanganyikiwa kupenda gani huko?
 
Uwe na heshima na marehemu na familia yake.
Acha wivu bana!! Mama alikuwa kitu Bomba sana! kwani uongo?? km angezaaa ke' sisi ndo wasaidizi wao! weye unaumia nini sasa?......huwezi kuwala dada damu moja!! utakalia kuwaangalia tu shemeji usinune!
 
Daaa!! Nampa pole Mama wee!! kwa hiyo Mama alizaa hasara tupu!!! .....hakujizaa wajameni Mwee!! raha kuzaa vitoto vya kike bana angepata heshima sana! na umaarufu maradufu!! kwa hiyo pale wodini aliteseka Mwenyewe???
Hio sio sawa hata kidogo....chagua maneno ya kuandika unapozungumzia familia ya mtu.
 
Upumzike kwa Amani Mama yetu mpendwa
 
Mghwira aliolewa mwaka 1982 na Shedrack Maghwiya ambaye sasa ni marehemu, na walijaaliwa watoto watatu wa kiume ambao ni Fadhili, Peter na Elisha
Shedrack Maghiya, not "Maghwiya"
 
Hio sio sawa hata kidogo....chagua maneno ya kuandika unapozungumzia familia ya mtu.
Shemeji acha hasira bana!! shida yangu nijue km ameacha mazao!! unadhani yangekuwepo?? ningefunga safari sasa!! ungepata wapwa safi!! lkn wewe dume hututaki bana shemeji!! ila naomba kukuuliza sijachoka si una Mama wadogo lkn??....

Naomba tu!! uache hasira shemeji! mie nataka kweli kuunga tela km mama wadogo wapo nifahamishe hata watoto wao!! usichoke!! ntapita Singida mie!! Ujue! kwani shida iko wapi?? utapita kwangu utakula ugali! kwangu.....

unaumiaa wkt mie mtakaji kweli.... Mama nilimuona kichwa sana halafu sasa singida daaa karibu na home!...ndo kujuana ivo weye nipe connection tu na hao wadogo zako usilie lie bana!!!....

Lkn pia si mbaya naona unawatunza sana!! weyey nipe ramani hata in box tu!!.....
 
Mzee upo sawa kweli?

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Asante sana
Kumbe ni msemaji tu? Mungu pekee ndiye Hakimu Mkuu wa makosa yetu Binadamu.

Mbali na yote hao ambao bado wanaugua na chuki hata na asiyesikia, jua wala kuhisi kinachoendelea leo hii TZ.

Endeleeni kupalilia Kansa, presha, vidonda vya tumbo na kuparalaizi kwa chuki za kishamba.
 
Ka mama kalikuwa bomba sana!! hajaacha mtoto wa kike huyu?? mleta mada!! halafu mbona hamuongelei mgane mmemzarau kiasi hiki??mleta mada baba yuko wapi??.....huyo na binti yake yuko wapi?
Heshima ni kitu cha bure.Sisi watanzania tmefunzwa kuwaheshimu wakubwa.Huyu mama alikuwa anajiheshimu sana,mpaka kwenye mavazi yake,na ni mstaarabu sana.
 
Heshima ni kitu cha bure.Sisi watanzania tmefunzwa kuwaheshimu wakubwa.Huyu mama alikuwa anajiheshimu sana,mpaka kwenye mavazi yake,na ni mstaarabu sana.
Uzuri ni sifa!! acha mambo za kiji weye na roho ya kisununu hivo!! amevunjiwa heshima wapi hapo sasa?? tatizo lenu watu wa Maporini kiswahili kinawaona sana..

Acha izo kunisahihisha ki ivo mie siko ivo! wa type hiyo!! siwezi kuongea unavotaka weye ndo ulivyo fundishwa huko katani kwenu? wanakijiji kwa nini mna roho za kizamani ivo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…