Anna Elisha Mghwira, asante kwa utumishi wako katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa

Anna Elisha Mghwira, asante kwa utumishi wako katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Leo nimepata bahati ya kutembelea akaunti ya Facebook ya Mh. Anna Elisha Mghwira Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliyestaafu na kubaini maono yake na kazi kubwa aliyoifanya- ASANTE

NUKUU
Bibi Maria amenitembelea ofisini na kueleza jambo lake. Licha ya changamoto zake nyingi, bibi bado ni mcheshi na mwenye natumaini. Anataka awe na makazi yake maana anasema kupanga ananyanyasika sana, anaibiwa kila wakati na kukosa amani.

Wazee wetu wengi wana changamoto hizi. Ninaomba jamii tuwatunze Wazee wetu. Tusiwaache wakihangaika baada ya kutuhangaikia sisi kukua na kufikia tutu uzima. Nyumba za kutunza wazee pia zinawapa upweke wazee. Wazee ni sehemu ya familia. Watunzwe, waheshimiwe, walindwe, wapewe mahitaji yao muhimu.

1621229897891.png
 
Pumzika kwa amani mama Anna mghwira[emoji17]
 
Back
Top Bottom