Elections 2010 Anna kilango

Elections 2010 Anna kilango

Mimik

New Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
2
Reaction score
0
Jamani Wadau vipi kuhusiana na matokea ya Anna Kilango?
 
Join Date: Tuesday Nov 2010, Yaani jana tu.
posts: 2
Thanks: 0,

My take, tembelea sehemu ya utambulisho ujitambulishe kwanza. Matokeo yako kwenye Thread kibao unachosha na kithread chenye kichwa nusu.
 
MBona laishatangazwa tangu jana kuwa kashinda na hata magazeti ya leo yameandika?
 
Khaaa jamani, mbona huyu kinara wa ujasiri alishashinda na tayari yuko website ya Bunge?? Jaribuni kuwa updated maana unaweza uliza swali wakati mwingine ukaonekana kuwa hauko well informed au husomi magazeti mpaka usubiri kusimuliwa!!
 
kumbe yule rostam ameshinda...............chakachua sport club
 
Back
Top Bottom