M Mimik New Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2 Reaction score 0 Nov 3, 2010 #1 Jamani Wadau vipi kuhusiana na matokea ya Anna Kilango?
M Mapinduzi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2008 Posts 2,418 Reaction score 98 Nov 3, 2010 #2 Wiliam atakuwa na habari zake, pengine.
DICTATOR JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 391 Reaction score 4 Nov 3, 2010 #3 Join Date: Tuesday Nov 2010, Yaani jana tu. posts: 2 Thanks: 0, My take, tembelea sehemu ya utambulisho ujitambulishe kwanza. Matokeo yako kwenye Thread kibao unachosha na kithread chenye kichwa nusu.
Join Date: Tuesday Nov 2010, Yaani jana tu. posts: 2 Thanks: 0, My take, tembelea sehemu ya utambulisho ujitambulishe kwanza. Matokeo yako kwenye Thread kibao unachosha na kithread chenye kichwa nusu.
M Mwanazuoni Member Joined Nov 12, 2008 Posts 69 Reaction score 12 Nov 3, 2010 #4 MBona laishatangazwa tangu jana kuwa kashinda na hata magazeti ya leo yameandika?
Mo-TOWN JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,721 Reaction score 515 Nov 3, 2010 #5 Tembelea web site ya Bunge. Parliament of Tanzania
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,928 Nov 3, 2010 #6 Khaaa jamani, mbona huyu kinara wa ujasiri alishashinda na tayari yuko website ya Bunge?? Jaribuni kuwa updated maana unaweza uliza swali wakati mwingine ukaonekana kuwa hauko well informed au husomi magazeti mpaka usubiri kusimuliwa!!
Khaaa jamani, mbona huyu kinara wa ujasiri alishashinda na tayari yuko website ya Bunge?? Jaribuni kuwa updated maana unaweza uliza swali wakati mwingine ukaonekana kuwa hauko well informed au husomi magazeti mpaka usubiri kusimuliwa!!
N Nampula JF-Expert Member Joined Sep 26, 2007 Posts 254 Reaction score 3 Nov 3, 2010 #7 kumbe yule rostam ameshinda...............chakachua sport club