Anna Makinda

Amesema jina lake ni Anne na sio Anna
 
Kuolewa sio hoja lakini kwa uhakika kabisa naweza kukufahamisha kuwa ana mtoto na wajukuu wako kwa Obama!!
 
huwa ananiudhi bungeni kwa ubabe wake..watoto,mume is none of my business
 
Ilishawahi ulizwa hii wakati flani, inadaiwa hana watoto, cjui nae hana kizazi kama kamishna wa polisi mama Munisi
 
Unataka kuchangamkia mzigo?
 
Jamani msimseme sana watu wa iringa wachelewi kujifika kitanzi kwa hasira.
 
Anne ana watoto wawili wa kiume, wote wameoa na wana watoto. Lakini wapo nje ya nchi.
 
kuuliza habari za kuoa au kuolewa na kuwa na watoto ni kuingilia masuala binafsi ya mtu tena ya siri/faragha, it is against human rights!! LOL
 
Labda mtoa mada anataka alifanye sugar mami lake
 
Hilo ni swali au mada? Kama ni mada unataka tuchangie kuhusu nn maana kama suala la kuwa na watoto au kuolewa hamuwezi kumjadili mtu humu hz ni haki zake na chaguo lake ktk maisha yake. Ila kama ni swali bs linalenga katika kujua nn zaidi ya alivyo?. Ninavyofahamu mm hy siyo mada haina miguu wala kichwa. Lakini pia hata kama hana watoto bs watoto wake ni cc kwani ni spika wa bunge letu la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…