Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

Ninakuunga mkono. Pia ni kama nilitabiri. Mama yetu keshachagua ua jingine la kurukia. Je, hapa jukwaani ataendelea kuwepo kama hapo awali,ili tutekeleze kwa mtizamo uleule wa awali hoja hii? Is she not just an opportunist of unknowns?
 
Let join our hands together we can make it the Best ( wacha tuungane mikono pamoja twaweza Fanya kuwa bora)

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 


Huu mjadala bado unaendelea?
 
saizi unashibe na mjadala umeutelekeza!

huu ndio muda muafaka watoto wanatarajia wapewe mikopo na sio wote watapa, funguka
 
Kiukweli wanasiasa wa Tanzania dahhh....

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Jamani samahani naomba kuuliza me ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana sikufanikiwa kupata mkopo na nimeshidwa kufanya mtihani wa semester ya pili ya kumalizia mwaka kwa kukosa ada na kulingana na barua ya Bodi ya Mikopo inasema kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo chuo kinatakiwa kitume matokeo mtihani yake ya mwisho sa jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje?me sijafanikiwa kufanya huo mtihani wa semester ya pili ya kumalizia mwaka.
 
jambo jema lakini kodi zetu ndizo zatakiwa ziende kwa watoto hawa, mwambie mzee awanusuru wanachuo. mbona kikwete alikuwa na huruma sana na wanachuo hata kama mikopo ilikuwa ikicheleweshwa lakini wanafunz walipata mikopo. mwambie mkuu uache uoga sema ukweli sasa upo karibu yake alafu unasema tuchangie wakati wajua mkuu anaweza waoloa. hivi unajua huku mtaani kuna hali gani?
 
Inagusa sana.
Napendekeza pia, Makampuni binafsi yapewe wajibu au yaombwe kugharimia walau wanafunzi wachache kadiri ya uwezo wao na wasemehewe baadhi ya kodi.
 
Ngoja tusubiri 2020 tuone kama haya aliyoyaongea atayaongea tena!!

Anna Mghwira -Tanzania haina uchaguzi wa demokrasia



Aliyekuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha siasa ACT – Wazalendo, Anna Mghwira amedai Tanzania bado haina uchaguzi wa demokrasia huku akiweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020 jimbo la Singida.
Mwanamama huyo ambaye alionyesha ujasiri mkubwa katika mbio za kuwania kiti cha Urais katika uchaguzi wa mwaka 2015, amesema hayo Jumatatu hii wakati akizungumza kupitia kipindi Cha Dakika 45 cha ITV.
“Siwazi siioni Tanzania ya uchaguzi ya mwaka 2020. Hatuna chaguzi za demokrasia bado. Pengine naweza kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Singida mjini mwaka 2020,” alijibu Mama Anna Mghwira wakati akieleza mipango yake katika uchaguzi ujao.
Katika hatua nyingine Mama Anna aliishauri serikali kuwekeza katika kilimo ili kuiandaa Tanzania ya Viwanda.
“Hatuwezi kuwa na Tanzania ya viwanda bila ya kuboresha kilimo kwanza, Tunahitaji kuwa na Tanzania ya kilimo kwanza,” alimema
 
Poo poooooooopo olpoopooooppooooopppopo oooooploooopoolTruthooo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oooooooppooopo


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…