Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

Tatizo ni baada ya hiyo elimu ikishapatikana, tukirudi mtaani tunakutana na changamoto mbalimbali nyingi zikiwa zimetokana na tatizo la mifumo yetu ya kiuchumi,kisiasa na kijamii.

Mtu anakaa bila kuweza kuitumia na kuikomaza elimu au ujuzi wake mwisho wa siku anarudi kufanya vitu vya kawaida tu kama kukatakata matunda na kuyauza(sipingi mtu mwenye elimu ataifanya hii kwa ujuzi wake hususan katika kuikuza na kupanua soko n.k), lakini kiwango cha nguvu ya takribani miaka 17 hadi 20 na kitu shuleni kinakuwa hakijawa na return na ukumbuke miaka yote hiyo wengi ni dependants wa wazazi au walezi wenye mishahara midogo/wastani(Hii inatuzungusha katika poverty circle).

Hili la elimu ya juu liendane na uboreshaji wa mazingira ya kujiajiri na kuajiriwa,otherwise tutakuwa tunasoma na kujaa mtaani na wapumbavu wakitutolea mifano kuwa kusoma sana hakuna faida.
 
Kila la kheri mama tupo pamoja nawe
Nayanja inoo ginya ugogowakilisha anyaruu
 
Mama umekwenda kweli???[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]nitasema nini sasa mimi daaaaah
 
R.I.P MAMA MAWAZO YAKO YATAENDELEA KUDUMU.
 
RIP mama Anna ulikua mtu smart sana japo ni Kati Ya Waasi wa Mageuzi Wa Mwanzo kabisa ukiwa na kina Mchange Mwigamba na wenzako
 
Lala salama mama Mghwira hakika Tanzania haitoacha kukukumbuka kwa mazuri yako
 
Sioni point ya kuwatoa wanafunzi ndani ya chumba cha mtihani, wangewaacha wamalizie mitihani yao then wawadai na hakuna kuwapa matokeo mpaka wamelipa au kuanza semister mpya lazima wamalize deni, wapuuzi kwelikweli huo uongozi wa chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…