Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #21
Muda ukipatikana tunapost😁Anne ndio muda wa kutangaza visheti saizi 🤣🤣🤣. Biashara na ujasiriamali ni kazi.
Hahaha sawa boss.Muda ukipatikana tunapost😁
Uzuri picha inaendelea kuwepo
Niletee uyole basi.Wapendwa wateja
Tunapika na visheti
Karibuni sana
Visheti nafanya delivery weekend kwa special oda kuanzia kg1 na kuendelea.Niletee uyole basi.
Weekend yenyewe si ndio hiiVisheti nafanya delivery weekend kwa special oda kuanzia kg1 na kuendelea.