Anne Kansiime amemuachisha mme wake kazi ya uwalimu na kumuajiri kama meneja wake

Anne Kansiime amemuachisha mme wake kazi ya uwalimu na kumuajiri kama meneja wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
kansiime.jpg

Mchekeshaji aliyejipatia umaarufu kanda ya hii ya Afrika Mashariki na Umu Jamiiforums,baada ya kushinda best african comedian award at the Afro Australian Music and Movie Award ( AAMMA).

Ameamua rasmi kumuachisha kazi mme wake kazi ya kufundisha katika chuo cha Kyambogo ( Kyambogo University ) kwa wale mliowai kusoma Uganda mtakuwa mshawai kukisikia.

Hivyo kuanzia sasa Mr Gerald Ojok atakuwa meneja rasmi wa Kansiime na Kansiime ameaidi kumlipa mshahara mzuri kuliko aliokuwa anaupata akiwa lecturer.

Pia msanii huyo amepanga kufungua bar yake hivi karibuni.

Safi sana Kansiime hope utakuwa mfano bora kwa wanawake wa JF na wengineo.
 
inapendeza! kumbe sanaa inalipa!

bado madame kumuajiri chibu, hahahahaha mana madame hana meneja kwa sasa,.
 
Mie wangu hata pesa hakubali nikimpa anasema ni ya mshahara wako,mimi ndio natakiwa nikupe wewe,seuze kumuajiri....
wanaume wengine sijui wakoje............
 
Mie wangu hata pesa hakubali nikimpa anasema ni ya mshahara wako,mimi ndio natakiwa nikupe wewe,seuze kumuajiri....
wanaume wengine sijui wakoje............

Unataka wanaume wote wawe kama wa Kansiime??

we shukuru kwa huyo ulienae huna haja ya kulaum sijui wakoje
 
Mpeni namba ya Brother G. Habash Kapteeiiiiiiiiiiin ampe uzoefu naaamin utaamka usingizini.
 
Aiseee wanaume wa kibongo hawa wanaosema std seven ndo anafaa kuwa mke hawawezi hii
 
hahaha kansiime,,,,''age is just a number,and jail is just a room''....''i just wanted you to know this time I am free but equiped with murder skills''
 
hahaha kansiime,,,,''age is just a number,and jail is just a room''....''i just wanted you to know this time I am free but equiped with murder skills''

Hahaha don't mess with kansiime
 
hahaha kansiime,,,,''age is just a number,and jail is just a room''....''i just wanted you to know this time I am free but equiped with murder skills''

Kuna wanawake ni shida aisee
 
Back
Top Bottom