Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Jun 21, 2010 #41 sio kukuuwa tu wakusigine kabisa umezidi mipasho na wewe
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,662 Reaction score 6,888 Jun 23, 2010 #42 Yeye asipige kelele kwani kifo ni wajibu na Mungu ndio ajuaye na aepushaye. Kilio chake ni kifo cha kisiasa ambacho kitatia kitumbua chake na watoto wake mchanga; na nafikiri alijiamini mno na kukosa maandalizi ya maisha nje ya ubunge kuanzia 2011.
Yeye asipige kelele kwani kifo ni wajibu na Mungu ndio ajuaye na aepushaye. Kilio chake ni kifo cha kisiasa ambacho kitatia kitumbua chake na watoto wake mchanga; na nafikiri alijiamini mno na kukosa maandalizi ya maisha nje ya ubunge kuanzia 2011.