Salaam wana jamvi,
Leo kuna gazeti moja nimesoma kuwa anne makinda amekabidhi hati MILIKI ZA ARDHI za KIMILA , katika moja ya mikoa, naomba kama kuna mtu anajua hii sheria atudadavulie maana nimestushwa kuwa kuna hii sheria lakini watu hatuijui, kilichonivutia sana ni kwamba hati hizo pia zinaweza kukopewa benki ! Naomba ufafafuzi wana jamvi wenye kujua sheria
Ahsante