Kaama uko kibaruani kama wakina pdydy
mwisho wa mwezi wa shugulii toa mshara wako wote weka kwenye kanga nzuri tafuta henkachief nzuri na perfyum nzuri tu juu yake funga na makadi na mengineyo juu yake weka biblia ikiwa na picha kubwa ya harusi kama mlioana kanisan ama msikitini
samahan kisheria ukikaa na mtoto wa mtu miaka miwili huyo ni wako yaani ndoa kamili ndo maana nkasema hapo juu..lakn najua kijana ulikiri mwenyewe..baada ya hapo nendeni kwa wazazi wenu wote wawili kama wapo dar mkashukuru kwa kuwatunza na huku mkiwa na shati/suruali nzuri na viatu kwa baba ama upande wa mama kitambaa cha kushona kanga herreni na viatu vyao kaama age waweza mtafutia dingi zile juu nibanie chini niachie watakuheshmu kuliko kumpelekea ma suti