naogopa kuweka picha yangu hapo maana kila mtu akiniona atapata kinyaa si unajua funza sipendwi
ushauri ni mzuri sana ila sitaki kushirikisha watu wengi nataka kwa familia yangu yaani mimi, wife na watoto tu hela sio issue kivile tatizo nifanye nn kusherekea miaka mitano ya ndoa halali ya kidini? ila ushauri wako nimeuchukua didy sema kibofya cha senksi sikioni ila "senksi"Kaama uko kibaruani kama wakina pdydy
mwisho wa mwezi wa shugulii toa mshara wako wote weka kwenye kanga nzuri tafuta henkachief nzuri na perfyum nzuri tu juu yake funga na makadi na mengineyo juu yake weka biblia ikiwa na picha kubwa ya harusi kama mlioana kanisan ama msikitini
samahan kisheria ukikaa na mtoto wa mtu miaka miwili huyo ni wako yaani ndoa kamili ndo maana nkasema hapo juu..lakn najua kijana ulikiri mwenyewe..baada ya hapo nendeni kwa wazazi wenu wote wawili kama wapo dar mkashukuru kwa kuwatunza na huku mkiwa na shati/suruali nzuri na viatu kwa baba ama upande wa mama kitambaa cha kushona kanga herreni na viatu vyao kaama age waweza mtafutia dingi zile juu nibanie chini niachie watakuheshmu kuliko kumpelekea ma suti
Nimeoa kanisani na uwa naenda kila j/pili na nina cheo kizuri tu church kiasi kwamba nisipoenda mambo yanakwamaNa kama ni mkristo na amjaenda kanisani basi muda muafaka sikumoja kabla nenden mkaombe wachungaji wabariki ndoa yenu asikudanganye mtu akuna raha kama kuishi kwenye ndoa wee..usimguse MUNGU
sasa kaka kwenye profile yangu mke wangu anahusika nn? samahani w/end ulikuwa kiwanja gani (nahisi una hang over)heee leo nimewaweke topic yenu ya roho za kuataliwa na jinsi gani ya kujitoa ..kataa roho chafu unatakiwa upendwe na si kupendwa na mkeo tu.....aaaakhhhhaaaa tupe ya mkeo yako utawekewa bday ya JF
sasa kaka kwenye profile yangu mke wangu anahusika nn? samahani w/end ulikuwa kiwanja gani (nahisi una hang over)
mie nimeokoka ni pure mlokole na uwa natoa fungu la ten bila kukosahaaahaaaaa nilikuwa kanisan ndugu yangu si unajua viwanja vishakanyagwa na kila mtu bora tuingie hivi wanavyoviogopa kukanyaga na wakigusa mara moja jumapili msalimie mpe hongera zake kama namjua vile shemeji yangu
lazima atakuwa mtumishi wa Bwana mpakwa mafuta ...ujaokoka bado na uko na mpendwa
Nimeoa kanisani na uwa naenda kila j/pili na nina cheo kizuri tu church kiasi kwamba nisipoenda mambo yanakwama
Mwezi ujao tunatimiza miaka mitano ya ndoa na my lovely wife wangu. Je nifanye nn kizuri kama kumbukumbu ya hii siku. Naomba ushauri nifanye nini kizuri kwa mke wangu na familia yangu kwa ujumla sitashirikisha watu wengine kwa hicho nitakachokifanya
mie nimeokoka ni pure mlokole na uwa natoa fungu la ten bila kukosa