Annur: Waliokamatwa na sheikh ponda wavuliwa nguo mahabusu

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
266
UKISOMA GAZETI LA ANNUR LA LEO, BASI WEWE KAMA MUISLAM UNAWEZA UKALIA NA UKAHUZUNIKA KABISA.
KAMA UPO SEREKALINI UNAWEZA UKAJIULIZA MARA 100 UNAFANYA KAZI HIYO KWA FAIDA YA NANI?
Mmoja ya waliokamtwa na sheikh Ponda amedai wamefanyiwa mambo ya kinyama mahabusu kwa kuvuliwa nguo zote.
Wamedai wamevuliwa nguo zote na kuwekwa Uchi mbele za watu.
Akizungumza na maelfu ya waumini wa msikiti wa mtambani siku ya kuukaribisha mwaka mpya wa kiislam. amedai kwamba ni udhalilishaji mkubwa wamefanyiwa jambo amedai linazidi kumjenga chuki kwamba tz kuna UDINI mkubwa unaofukuta
amedai wamefanyiwa unyama huo huku wakikashifiwa dini yao na baadhi ya maofisa wa magereza
SOURCE: ANNUR YA LEO
 
taratibu za mahabusu kuingia gerezani zipoje , nadhani ni utaratibu wa gereza kutekeleza hilo kwa kila mahabusu
 
Atoe ushahidi wa kutosha ndiyo tunaweza kumuelewa,vinginevyo ni uzushi mtupu wenye lengo la kupandikiza chuki.Inamaana askari magereza wa gereza la segerea wote ni wakristu?
 
walipovuliwa nini kilifwata,hapa kashachezewa mtu.
 
Huo Udini unao FUKUTA Unafukutishwa na Nani? Sana naona kama anawajaza Chuki wenzake Waandamane tena
 
Walikuwa hawajui mashariti ya magereza ?ukiingia pale lazma uvue nguo zote na uchatame ili asikari magereza wajiridhishe kuwa kwenye tigo hamna ulichoficha na lazima unyolewe nywele na ndevu!chezea serekali wewe
 
Mkuu naona unataka kuongezea yakwako,yeye amesema alivuliwa nguo na uachwa uchi mbele ya wafungwa wenzake!
angetoa maelezo kidogo baada ya hapo nini kilitokea
 
Watu wa imani zingine na wale wasio na imani kabisa huvuliwa nguo kila siku mahabusu.....leo ni zamu yao makelele kibao!
 
hao jamaa wa ponda na ponda mwenyewe ni wachochezi.sasa mtu ukiwa unasikiliza tu bila kutumia akili utaona jamaa wa watu wanadhulumiwa kumbe wanatunga visa ili kuongeza uchochezi.Na wakiona hawafanyi kitu wanachokoza ili wafanyiwe halafu walalamike wamefanyiwa.Si mliona waliambiwe wasiandamane mwanzoni;wakaandamana kwenda kidongo chekundu,polisi wakaamua wakawaacha tu.walivyofika badala ya kusema wanachotaka wakawa wanaulizana "tumeandamana hatutaandamana?"lengo kuleta uchochezi tu!
 

huyo hajawahi pelekwa mahabusu ndo mara ya kwanza.... kuvuliwa nguo na kubonyokaa tigo ni kitu cha kawaida na ndio utarabu wa gerezani..hayo mengine ya kukashifiwa ni chumvi tu imeongezwa ili kuendeleza udini
 
Alitaka mahabusu wamtendee kama yuko kwake!?? hajui kwa nini watu tunaogopa lupango
 
Andamana uchezee kichapo
sasa ukijaribu kuangalia kitaalam,hawa jamaa wanataka waseme mpaka askari magereza wote ni wakristo,polisi ni wakristo,viongozi wa serikali ni wakriso,wanasheria kadhalika .upuziii! huu hauwezi kuvumilika.kila atakayefanya upuzi anatakiwa apewe mabo ili awe na akili.
 
usikute waliwavua nguo halafu wakawaamrisha waswali mbele ya wafungwa wenzao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…