Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
Wakuu naomba msaada/ushauri
Nimekuwa nikitumiwa emails na mtu mara kwa mara zikiwa na maneno ya kashfa na vitisho. Address yake xyz@yahoo.com
Ninawezaje ku-trace au kupata msaada wa ku-trace huyu mtu anatuma emails kutoka wapi?
Au ni utarattibu gani nifuate ili kuweza kumpata huyu mtu au anagalau kumfanya aache kutuma hizi emails?
Natanguliza shukrani

Nilivyoelewa shida ya mtoa mada si kutaka kublock messages kama wengine wanavyomshauri.Anataka kujua email messages zinatoka wapi.
Unaweza kupata IP Address ya computer iliyotumika kama email client unayotumia inaweza kukuonyesha MIME headers.Kama haionyeshi unaweza ku forward email kwenye email iliyo na Outlook au system nyingine inayoonyesha MIME headers.
Ona imeelezwa vizuri
hapa
Lazima nitie mkazo kwamba utapata IP Address tu, ambayo inaweza kuwa ya Internet cafe or any other public place.
BluRay yupo sahihi.
Basically haiwezekani kumpata huyo mtu kwa kutumia email ya yahoo, header ya Yahoo mail itasema email imetoka server ya yahoo hakuna la ziada, na hata kama ukipata IP address, kupata ni nani alikuwa anatumia hiyo IP hautaweza bila ISP kukupa hizo data, kitu ambacho hawawezi kufanya mpaka wapewe court order.
Zaidi ya hapo kama alichukua simple precaution kama kutumia Internet Cafe au kutumia proxy server ndo kabisa hata ukipata ushirikiano wa ISP bado hautapata chochote. Fuata ushauri wa kuclick kitufe cha SPAM halafu achana nayo.
kumbe na wewe ndio walewale!