MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #21
U feelin it hommie ???I like it.
Thanks √√√√
Loved Bobby brav... sijui kafia wapiBraaaaav, what up!!!!
Glad you could join me in singing Anonymous!
Hahahaha, lost in a mist!Loved Bobby brav... sijui kafia wapi
Avatar yangu imefanya nini tena ???Nimeingia nione hiyo avatar yako tena..
daaagh.
., miaka ya 2006 hiyo"" mnyamwezi alitisha mnoo nahiyo ngoma aisee"" nilikuwaga naielewa mnooo daahh...haswaa pale kwEnye bridge ya TIMBERLAND"""
MZIKI MZURI UMETOWEKA NOW DAYS
hahaa cha 3 mkuu2006 ulikuwa kidato cha ngapi ???
young loyd ana ngoma yake moja inaitwa cupid ...ana nyungine yaitwa " lay ur head down on my pillow""" achilia mbali kile kibao kilichompatia umaarufu mnooo alichoimba na lil Wayne"" wajati huo lil Wayne ndio anakuja na moto haswaa""Hahahaha, lost in a mist!
Used to listen to him lots!
Remember Young Lloyd..??
young loyd ana ngoma yake moja inaitwa cupid ...ana nyungine yaitwa " lay ur head down on my pillow""" achilia mbali kile kibao kilichompatia umaarufu mnooo alichoimba na lil Wayne"" wajati huo lil Wayne ndio anakuja na moto haswaa""
then hapo katikati akaibuka Jamaa mmoja hivi anaitwa jay holiday"" daahh "" nilikuwa nawaelewa mnooo hao watu""
hahaaa sasa mbona wanicheka mkuu"" huoni kuwa nimekula chumvi kidogo ..maana kuna wengine humu miaka hiyo bado walikuwa wanasoma elimu ya msingiAiseeeeee,..!
😀😀😀😀😀😀
naaam mkuu"" Jamaa alimfanyia chorus "" fat Joe"" daaahh ngoma yao ilikuwa gumzoJay Holiday Mzee wa Bed.....!
Ewaaaah huu weusi uko hata kwenye Bendera yetu Tukufu......Huo weusi tu... 🙂
HahahahahaEwaaaah huu weusi uko hata kwenye Bendera yetu Tukufu......
🙂🙂🙂🙂🙂
Hahahaha Comredi bwana,Hahahahaha
Wee Cpmred una kero balaa