Another Kenya's plane crash in Somalia

Another Kenya's plane crash in Somalia

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917

Kenyan Owned Plane Crash-lands In Bardere Somalia [Photos]

ShareTweetGoogleWhatsappLinkedin

EcJqZnmX0AAcmEQ.jpg

A Kenyan owned Fokker 50 registration 5Y WFC that crash landed in Somalia on Sunday morning

A Kenyan owned Fokker 50 registration 5Y WFC crash-landed in Bardere, Somalia on Sunday morning Kahawa Tungu understands that the plane is owned by Buff Air Services, a firm that offers air transport services for the passengers, cargo and charters. It operates from Wilson Airport, Nairobi

It was not immediately clear on what led to the incident. Here are photos from the scene:

EcJqZnmX0AAcmEQ.jpg

In May this year, Kenyan authorities wrote to the Somalia government demanding answers after a light aircraft was shot down in Bardale area, Baidoa killing all six on board.

The Embraer 120 plane with tail registration 5Y AXO and belonging to African Express was landing in Bardale town when it was hit with a Rocket-propelled grenade (RPG) by Ethiopian forces.

The forces guarding Bardelle airstrip in Baidoa claimed that they adjudged the plane’s unusual flight towards the facility as a potential suicide mission.
 
Tuambieni. Wachezajo huko kunyaland wanalipwaje!?

Check TZ
 
Another provocation by Ethiopia, kenyaland kama kawaida, watakaa kimya.
 
Geza is having an awesome week with this crashes
Kama ulivyo kuwa na awesome week kwa kusambaza videos za watu wakianguka na kusema ni Tz wanaanguka kwa corona,

But sasa hivi ubao umebadilika na sikuoni ukisambaza videos za kenya za watu walioanguka!
 
Kwani kama kunazo nilisambaza hazikua tz ama zilikua wapi?
 
Kwani kama kunazo nilisambaza hazikua tz ama zilikua wapi?
Nyingi hazikuwa Tanzania na zingine mnapotisha ni corona,

Source zenu zilikuwa zile page za wanaharakati uchwara zinazopotosha kuhusu corona,

Nowadays toka wale wanaharakati waishiwe content za kupotosha na nyie mmeishiwa content,

Anza kusambaza za kenya ukianzia na ile ya Juja.
 
[emoji23][emoji23] eish denialism, so zilikua kenya ama?
 
[emoji23][emoji23] eish denialism, so zilikua kenya ama?
Mnajua nyie mliokuwa mnaokota okota huku mkichekelea,

Lakini sasa hivi ubao umebadilika corona inawanyoosha vilivyo,

Anza kusambaza za kenya ukianzia na ile ya Juja.
 
Back
Top Bottom