Olliver Seid
Member
- May 12, 2017
- 51
- 125
Specifications na features zake ziko wapi
Naam,zina uhusiano.Hii proton ya Kenya ina uhusiano na Proton Motors ya Malaysia?
Yani zimepishana na laki tuThe proton Saga will come in three variants;
Standard MT- 1.1 MILLION kes.
Standard AT- 1.2 MILLION kes.
Premium AT- 1.3 MILLION kes.View attachment 1712180View attachment 1712182View attachment 1712184
Hiyo sio gari, Ni picha tu ya kuchorwa kwa tarakilishiSpecifications na features zake ziko wapi
Gari nzuri kwa nchi zetu, ila gearbox wameibana kwa kuweka gear 4 kwa auto na Manual, pia Traction Control System imewekwa Kama option feature.
Kuna features kadha haswa zile za kiusalama ambazo trim ya chini kabisa hazina.Pia kuna baadhi ya rangi ambazo huwa ni ghali. Kama wewe ni mtu wa kufuatilia magari,utapata kuwa kuna wakati fulani bei haitofautiani sana between different trims simply because of the addition of one or two features.Yani zimepishana na laki tu
Amini kile utakacho kiamini.Hii ni dunia huru.Hiyo sio gari, Ni picha tu ya kuchorwa kwa tarakilishi
Kila mtu lazima atapata kasoro zake.Kuna watu watapenda hili gari,wengine hawatalipenda.Kununua ni hiari.Gari nzuri kwa nchi zetu, ila gearbox wameibana kwa kuweka gear 4 kwa auto na Manual, pia Traction Control System imewekwa Kama option
Less features than a probox which is 400k cheaper.. Waendelee kujaribu tu lakini wajue wv polo was there, peugot and etc.. They can only hope for a government contract but kenyan Raia market forget itKila mtu lazima atapata kasoro zake.Kuna watu watapenda hili gari,wengine hawatalipenda.Kununua ni hiari.
i told you to stop making such stupid comments.. comparing a 8yr old car to a brand new car... jifunze kunyamazaLess features than a probox which is 400k cheaper.. Waendelee kujaribu tu lakini wajue wv polo was there, peugot and etc.. They can only hope for a government contract but kenyan Raia market forget it
Huyu mwekezaji angekuja kuwekeza bongo angekoma, angepigwa makodi ya kufa mtu, hata kabla hajaanza kufunga kiwanda.The proton Saga will come in three variants;
Standard MT- 1.1 MILLION kes.
Standard AT- 1.2 MILLION kes.
Premium AT- 1.3 MILLION kes.
View attachment 1712180View attachment 1712182View attachment 1712184
Tuna mengi mazuri ya kujifunza kutoka kwenu, ila tunajidai hamnazoKwa milioni moja unamiliki gari nzuri kihivi, safi sana.
Safi sana. Wadanganyika, yule nyumbu yupo wapi?The proton Saga will come in three variants;
Standard MT- 1.1 MILLION kes.
Standard AT- 1.2 MILLION kes.
Premium AT- 1.3 MILLION kes.
View attachment 1712180View attachment 1712182View attachment 1712184