Halafu anasahau kuwa hata Samia alikuwa ni mmojawapo kweli serikali hiyo ya akina polepole, yaani wote walikuwa wafuga simba.Nimepata part of you clip blaming Polepole for his past deeds. Kweli uko sahihi, tena sahihi sana!
Kwangu mimi nalichukuia hivi:
Kwa sasa tuna Simba mla watu ameingia kijijini anakula watu, mbuzi, ngombe, kondoo , kuku etc etc.....anything you can think of!
Sasa Katokea mtu anasaidia kumtafuta Simba na kumuua, utasema usimuue kwa vile huko nyuma ulishiriki kuwafuga Simba hapa kijijini? HAPANA.
AS long as anapinga ukatili unaofanywa na utawala wa sasa, basi to me nina kila sababu ya kumuunga mkono (ingawa kama ulivyosema alikuwa amejipanga labda kugombea urais/wamejipanga na kundi lake la akina bashiru- mwaka huu kugombea....)
Ni kweli Polepole alihudumu kwenye utawala katili wa Magufuli. Nadhani na ndipo ulipokimbia kuokoa maisha yako. Una haki ya kutompenda. Nami simpendi! Lakini leo anaisaidia kumfukuza Simba
Lakini akitokea wa kutusaidia kumfukuza Simba tuungane nae. Baadaye tutamkalisha kikao na kumpa onyo kuwa ukatili haulipi!
It is the hyena that need to be chased first, after which the hen might be warned about wandering into the forest alone ........................................Chinua Achebe
exactlyHalafu anasahau kuwa hata Samia alikuwa ni mmojawapo kweli serikali hiyo ya akina polepole, yaani wote walikuwa wafuga simba.
mifano ya kipumbavu kabisa hadi unaonekana takataka wewe na wenzioexactly
We ni jinga lisilojitambua. Ht huyo kipapai anakudharau maana anajua anatuletea mambo ya uzushi, uwongo na ya kipumbavuNimepata part of you clip blaming Polepole for his past deeds. Kweli uko sahihi, tena sahihi sana!
Kwangu mimi nalichukuia hivi:
Kwa sasa tuna Simba mla watu ameingia kijijini anakula watu, mbuzi, ngombe, kondoo , kuku etc etc.....anything you can think of!
Sasa Katokea mtu anasaidia kumtafuta Simba na kumuua, utasema usimuue kwa vile huko nyuma ulishiriki kuwafuga Simba hapa kijijini? HAPANA.
AS long as anapinga ukatili unaofanywa na utawala wa sasa, basi to me nina kila sababu ya kumuunga mkono (ingawa kama ulivyosema alikuwa amejipanga labda kugombea urais/wamejipanga na kundi lake la akina bashiru- mwaka huu kugombea....)
Ni kweli Polepole alihudumu kwenye utawala katili wa Magufuli. Nadhani na ndipo ulipokimbia kuokoa maisha yako. Una haki ya kutompenda. Nami simpendi! Lakini leo anaisaidia kumfukuza Simba
Lakini akitokea wa kutusaidia kumfukuza Simba tuungane nae. Baadaye tutamkalisha kikao na kumpa onyo kuwa ukatili haulipi!
It is the hyena that need to be chased first, after which the hen might be warned about wandering into the forest alone ........................................Chinua Achebe
takataka mama yakomifano ya kipumbavu kabisa hadi unaonekana takataka wewe na wenzio
Katili kupita kiasiHuu sio utawala katili?
Ona jinga hili sijui limekurupuka kutoka wapi linanuka mdomo na.lilo uchi! Kuleeee!We ni jinga lisilojitambua. Ht huyo kipapai anakudharau maana anajua anatuletea mambo ya uzushi, uwongo na ya kipumbavu
Takataka siyo mamake tu, hata babake, mkewe/mumewe, na wanayetakataka mama yako