Ansbert Ngurumo humtendei haki rais

Nadhani Rais alikwenda kuuza sura tu kwenye TV kama kawaida yake..!Hakuna majibu ya msingi aliyoyatoa zaidi ya porojo ambazo tumezizoea..SEMA UKWELI ACHA KUPAMBE PAMBE NDUGU !! Stories za kila siku mara maisha bora kwa kila mtanzania mara kuna kesi kuu mbili zipo mahakamani ....so what ? TUNAHITAJI UTEKELEZAJI KWA VITENDO...Hizi ngonjera tulishaacha shule za msingi bwana..!
 
Hakuna cha mkutetea JK, kama JK ni useless!! if you have to call a spade a spade, sema kwa sababu ya kofia aliyovaa kwa sasa ndo tunamstahi kidogo,lakini anayoyafanya hayana mantiki siku ile tumejaribu simu aliyotoa ilikuwa haiendi a quick survey ya dar ilionyesha 98.99% ya watu wa dar waliotaka kumuuliza swali never went through kwa hivi it was awaste of government money , kwani haliitaji kuulizwa nini asilojua? mbona wabunge wenye mandate ya kumwambia afanye ABC wametoa maazimio amefanya nini kama si usanii!! that guy nafikiri afauate ushauri mwa Mateo quares na asichukue form tena atakuwa ametusaidia sana kama watanzania
 
Mizani ndio inayobalance kati ya mema na mabaya ikiwa JK uzito wa mzani wake umeangukia kwa mabaya zaidi japo mema yapo ni haki yake kwa hayo mabaya kuvuma zaidi. Siku hizi hata genge la nyanya ukalisimamia kwa kuchekacheka na kuwaonea haya wapembe wako unanyanganywa!! Sembuse IKULU!!!
 
Tatizo hapa ni mtazamo wa Ngurumo, lakini kama msomaji kweli wa makala zake ni wazi utakuwa umesoma makala ya kwanza wakati JK anaingia Ikulu ambayo alisema wazi kuwa kwake Mkapa ni historia na sasa anaaza na JK.

Msimao wa Ngurmo ni kumkosoa Rais awapo madarakani badala ya kusubiri atoke ndio watu waanze kumkosoa, na hata wakati wa Mkapa alifanya hivyo hivyo. Na kwa msimamo huo, Ngurumo yuko sahihi kuliko wengi wetu hapa ambao tumekazana na Mkapa huku tukimuogopa JK.

Ukosoaji wa Ngurumo sio wa kinafiki, anamweleza wazi Mfakme kuwa yupo uchi ili avae nguo. Ukosoaji wa kiongozi anapotoka madarakani hauna maana kwa sababu tayari anakuwa amewaumiza.

Kuhusu kuwemo kwake kwenye mtandao hapana, siamini kwani niliwahi muuliza mwenzangu vipi mbona sikuoni kwenye kampeni za JK kama wahariri wengine, naye akanijibu kuwa asingependa kukosa nguvu ya kuandika, na kwamba yeye na JK wanatofautiana katika masuala ya msingi hivyo asingependa kujipiga pingu mwenye.

Bravo Fr. Ngurumo
 
Ngurumo ni Mchambuzi makini sana, namkubali sana katika makal zake nyingi!

Hii maka ya Kipepeo ni nyepesi sana na ninavyomjua Ngurumo ataijibu kwa Hoja
 
Kipepeo ameamua kumsakalama Ngurumo hapa JF lakini Ngurumo yeye hasemi JF hapa anasoma na kuondoka .Kiepepeo sawa na Sophia Simba na Kilango yeye anawaumiza wapambanaji kwa kuwa kesha lambishwa ama kuahidiwa . Kama Kipepeo kweli haya ni mawazo yako basi unaonekana hujamwelewa Ngurumo na mambo ya kusema umeambiwa na marafiki zake wa karibu ni mipasho tu . Kama unadhani uko sahihi taja walio kueleza na wewe go in public na jina lako la ukweli mvae Ngumu uusikie muziki wake .Ngurumo yule ni Padre kama Slaa kama ulikuwa hujui basi ujue .
 

- Nonsense!

FMES!
 

kizazi kipya chenyewe kiko wapi?Rais wako alishajidhalilisha toka siku nyingi tu
 
Ngurumo yupo sahihi kwa asilimia 100. Rais huyu nchi imemshinda. Yeye anadhani nchi inaweza kuendeshwa kiusaniisanii na kipropaganda tu. Anatumia muda mwingi na wasaidizi wake kubuni namna ya kuwapumbaza wananchi wake badala ya kutumia muda huo kutafuta suruhisho la kudumu la matatizo ya kijamii na kiuchumi ya wananchi. Shime Bw. Ngurumo endelea kufunua mengi na mengi ili wananchi wamjue ipasavyo Rais na wawe kwenye nafasi nzuri ya kuamua kwenye sanduku la kura mwaka kesho.
 

Gembe umenena,

baadhi ya washiriki wanataka kuuwa jukwaa hili. Kipepeo hajasema habari zote ambazo anaandika Ngurumo ni pumba, la hasha, yeye amechukua hoja moja mkononi kwamba Ngurumo hajatenda haki kwa Rais kumponda kwa kitendo cha kuongea na wapiga kura wake moja kwa moja. Itafika mahala jukwaa letu litakosa watu wenye hekima ya kutenganisha mabaya na mazuri kwa sababu za ubinafsi na chuki. Katika hili kipepeo nakuunga mkono, Rais ndiye aliyefanya jema na Ngurumo kafanya baya.
 

Kumbuka Kipepeo hajamsifu Rais katika issues zingine inawezekana wewe ndiye hujamwelewa pamoja na majisifu yako.
 
Tatizo la huyu jamaa njaa inamsumbua.kila akielekezwa na bosi wake MBOWE anasikiliza.hivi sasa anabeba mabox Uk.

Hakika umenena na unamjua Ngurumo kwamba kuna mambo anafanya ni kwa sababu ya kumfurahisha Mbowe hapo ndipo hatumii akili tena.
 
Kijana, sasa hapa umemjibu NGURUMO KUHUSU MAKALA YAKE au umepoteza muda kumjadili Ngurumo? Mimi ningekuheshimu endapo ungeanza kujibu hoja baada ya hoja katika hicho unachokiita upotoshaji lakini kuanza kumjadili mtu ni sawa na kutuletea UMBEA humu kwenye JF!

JIANGALIE KIJANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…