Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Naona mlikosa wapi pa kumkosoa hayati Magufuli mkabakiza kuleta majungu yasiyokuwa na mbele wala nyuma.
Hata kama pesa za kujenga uwanja wa ndege Chato hazikuidhinishwa na Bunge shida iko wapi? Kwa sheria ya bajeti hairuhusu kuhamisha mafungu?
Leo hii pesa za umma zinaibiwa na hazijengi viwanja vya ndege, shule, mahospitali na huduma za jamii. Mbona mpo kimya?