Ansbert Ngurumo na wanazi wenzako tambueni uwanja wa ndege Chato ni mali ya umma. Kamaa nyie ni wazalendo kweli kemeeni huu ufisadi unofanyika sasa

Hizi zinazoibiwa sasa hoji ww, wao wameamua kuhoji wizi wa dhalimu. Semeni 1.5t zetu mlizipeleka wapi.
Mwamba alikuwa anachota pesa za umma anaenda kugawia ndg zake kijijini kwao, yure pareee, mpe Milioni 20, yule mpe kumi nk. Mzigo ukiisha anarudi BOT kuchota mwingine! Mwamba alitisha! Wanufaika wamebaki kutukana tu! Sisi wa tunduru sijui ni lini mwamba angekuja hata na Milioni 20 kutugawia japo Milioni Moja Moja
 
1.5 trillion ilitumikaje, udokozi hela za watu kwenye acc zilitumikaje
Ukiwa timamu huwezi kuhangaika na Magufuli na uzushi wa trillion 1.5! Jiulize hao wema walioiba hela Railway wamefanywaje hadi sasa na licha ya ku over invoice? Zungumzia current issues za ripoti ya CAG upotevu ni kiasi gani na mama yenu mpendwa amefanya nini juu ya hilo.
 
Weka ripoti za CAG hapa kipindi cha dhalimu ili tupime hayo matumizi mazuri ya hizo fedha.
Weka ripoti za CAG hapa kipindi cha dhalimu ili tupime hayo matumizi mazuri ya hizo fedha.
Sisi tunaangalia mendeleo yaliyofanyika na tukayaona kwa macho yetu. Hatutataki blaa blaa za uongo uongo.
 
Wewe usiwe mpayukaji kila unaposikia mtu ana mkosoa huyo mungu wenu chizi wa chato! Hapo ulipo hata kitabu chenyewe hujakisoma una weweseka tu
Kwamba ni halali kuhamisha pesa za budget bila idhini ya bunge kisa unajenga kiwanja cha ndege kijijini kwako? Wewe unaona sawa? Utakuwa chizi wewe?
Kwamba raisi analazimisha bank ikajenge branch kijijni kwao wakati wataalamu wanajua hakuna wateja? Wewe unaona sawa? Na upo mbele za watu unamtetea hapa ? Soma kwanza kitabu mkuu
 
Ile Makala umeifuatilia vyema?Ngurumo ameeleza vyema kuwa uwanja wa chato hauna abiria.

Pia pale uwanjani hakuna huduma muhimu.

Kwa maoni yangu Ile ni hasara Kwa taifa.
 
Umeandika takataka
 
Yaani we ndo hamnazo kweli! Yaani uanaona poa tu katiba kuvunjwa wakati rais anaapa kuilinda kwa dhati kabisa: eti hata kama.hazikupitishwa bungeni shida Iko wapi! Hivi una akili kweli
 
Sisi tunaangalia mendeleo yaliyofanyika na tukayaona kwa macho yetu. Hatutataki blaa blaa za uongo uongo.
Blaa blaa huoni Bwawa la Rufiji ambalo Dhalimu aliliacha 30%
Huoni Ajira alizozuia Magufuli wenu kwa miaka 6 zinavyotolewa sasa hv
Huoni tunavyopandishwa madaraja ya utumishi ambayo lile Shetani lenu lilizuia kwa miaka 6?
Huoni Madarasa nchi nzima>
Huoni ustaarabu sasa hivi upinzani wako huru kupiga siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…