Ignored!Sawa tumeona....
Hao wengine ni dhahiri shahiri watakimbia but the Patriot and Statesman Freeman Aikaeli Mbowe will never ever do that. Huyu ndio pekee haishi kama hao swala na tembo wanadanganyana na kuuziana uogaTembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.
Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia!
Msikllize Ansbert ngurumo
View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps
I do not think it is wise to be a dead hero! Anyway everybody has his her own outlook!Wazalendo wa Kweli hawakimbiagi.
Ngurumo Si MZALENDO .
Kwa mantiki hiyo ni kuwa CCM will never accept defeat in elections to come, maana wakitoka madarakani, watashitakiwa na kupewa adhabu kali regardless of the kinga eti rais hashitakiwi, ataundiwa mahakama ya kijeshi au special court kwa ajili yake tu na wale waliojiwekea kinga ya kutoshitakiwa.Serikali haiwezi kuwafunga wote isipokuwa hao watatu wametumika kuwanyamazisha hao wengine.
Kwa hali iliyopo, ni wazi hata hizo kelele haziwezi kuwafanya jamaa wasichukue hizo bandari kwa maana inaonesha kama ni mpunga ulishatolewa kitambo hivyo iwe mvua ama jua lazima DPW achukue hizo bandari.
Turufu iliyobaki ni kwa Wananchi wenyewe kuukataa, maana watu wa Usalama walishafanya kazi yao ya kuuvujisha kupitia kwa akina Mbowe and Co. sasa kama Wananchi wenyewe wataendelea kunyamaza basi hatuna Jinsi.
Heroes never die!!!I do not think it is wise to be a dead hero! Anyway everybody has his her own outlook!
Never die in History!Heroes never die!!!
Swala na tembo wakimbie mapema, wabaki Simba , Farasi,Faru, nungunungu, tai nk nk!!Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.
Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia!
Msikllize Ansbert ngurumo
View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps
Liweke hapaKuna wazo linanijia ila nikikumbuka hata wakili sina naona bora ninyamaze.
Whatever your interpretation .........Swala na tembo wakimbie mapema, wabaki Simba na Faru!!
Uliona wapi walemavu na wanawake au watoto wakipelekwa front line?
Ikiwa heroes watakimbia, nani aongize Mapambano?Never die in History!
Kama huwezi kuchambua fumbo linalojieleza je lililofichama utaweza? Waliolengwa hapo sio kina mbowe ni hao viongozi wa CCM na wengine Kama wewe mnaodhani hammo wakiwamaliza akina mbuzi watawafuata nyie kina swala na tembo.Tembo alimuona swala akikimbia kwa mbio kubwa. Akamuuliza, swala mbona mbio hivyo? Swala akasema kijijini kwetu polisi wanakamata kila Mbuzi anayeonekana. Tembo akema wewe acha ujinga, kwani wewe ni mbuzi? Mbuzi akasema kwa mfumo wa sheria ninao uona kijijini, itanichukua miaka 20 kuwashawishi polisi kuwa mimi siyo Mbuzi. Na Tembo akaanza kukimbia mbio kubwa.
Tafsiri:
Mbuzi, Tembo, na kila mnyama wanze kukimbia..........Lisu, Mbowe and Co Ltd! waanze kukimbia!
Msikllize Ansbert ngurumo
View: https://youtu.be/iq4g2lT81Ps
Kwa system iliyopo Tanzania ni ngumu Chama cha Upinzani kupewa Nchi, kuna muunganiko wa moja kwa moja kati ya CCM na Serikali.Kwa mantiki hiyo ni kuwa CCM will never accept defeat in elections to come, maana wakitoka madarakani, watashitakiwa na kupewa adhabu kali regardless of the kinga eti rais hashitakiwi, ataundiwa mahakama ya kijeshi au special court kwa ajili yake tu na wale waliojiwekea kinga ya kutoshitakiwa.
You're not serious. Unategemea wakipigwa chini utaishi nao humu nchini?!maana wakitoka madarakani, watashitakiwa na kupewa adhabu kali regardless of the kinga eti rais hashitakiwi,