R.I.P mzalendo. Too young to dieHabarini wana jamvi?
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao uru mawela moshi.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiweView attachment 3452587
Les than 60Ana u young gan jaman? 1972 had Leo ni young?
Watu wanateseka sana na hicho kikotoo na laan wanazotoa wazee wastaafu ni nyingi lazima mtu awajibike.Habarini wana jamvi?
Ninasikitika kuwajulisha kwamba aliyekuwa mmoja wapo wa wakurugenzi huko PSSSF Bwana Ansgar Africanus Mushi ambaye pia ni muasisi wa kikokotoo cha mafao ya wastaafu ameaga dunia siku chache zilizopita humo Africa ya kusini na kesho atazikwa kwao uru mawela moshi.
Bwana Alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiweView attachment 3452587
Ushaanza kutoa unabiiWatu wanateseka sana na hicho kikotoo na laan wanazotoa wazee wastaafu ni nyingi lazima mtu awajibike.
ππππππWamzike haraka, asije fufuka bure.. π