TANZIA Ansgar Africanus Mushi wa PSSSF afariki dunia

Ooh dear! RIEP Ansigar...
 
M Mbn km ushabiki tena? Moshi itasimama? Wachaga mmelogwa na nani? Halafu we km mwehu, kwamba kila mtu anamfahamu.
 
Poleni sana wafiwa.kama umazaliwa na mwanamke siku zako ni chache sana nazo zimajaa taabu.
 
Alifanya heshima Nyumbani, safi sana, Mungu ampe pumziko jema
 
Bunge ni Rubber Stamp tu Bwasheee ,Sirikali ndiyo inapeleka Bungeni ili kina babu Tale ,Msukuma ,Kibajaji wasemeee ndiyooooo ili sheria zianze kutumika.
Bora ww umejibu
Me nliona uvivu... Ina maana hajui miswada vyanzo vyake mojawapo ni serikali kuu kupitia parastatals zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…