Answar Sunna Waswali Sala ya Eid El Fitri Mbagala

Pale Jangwani Je? make na pale kabla ya uharibifu wa mazingira kufanywa na mwendokasi, tulizoea kuwaona just one day before wale wa Bakwata.
 
Jana nampeleka mwanangu shule naambiwa rudini ni sikukuu ya wasunni leo, na kesho (Yaani leo) asije kwakua itakua sikukuu ya Washia.

Jana nikawa nashangaa kila mtu hajui kama leo washia wataadhimisha ama la. Leo naamka naambiwa ndiyo sikukuu ya wasunni sasa.

Mwanangu anasema wamefunga shule.
 
Tatizo libakwata tu,
Rwanda,Uganda waliswali,Ila libakwata linapanga kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…