Answer this question correctly and WIN

sasa mwisho si utakuta advance level na walimu pia wanajibu??
Unatumia mbinu gani kujua kuwa aliye jibu swali ni mlengwa(mwanafunzi wa level husika?)
 
Asante mtoa mada nashukuru sana.Kwa wale waliouliza nipo level gani Mimi ni mwalimu ngazi ya cheti ilabado sijaajiriwa.
 
Niliishia kidato cha nne,nikajiunga na chuo cha ualimu VIKINDU,Ila bado sijaajiriwa.
 
sasa mwisho si utakuta advance level na walimu pia wanajibu??
Unatumia mbinu gani kujua kuwa aliye jibu swali ni mlengwa(mwanafunzi wa level husika?)

Ninaangalia usahihi wa majawabu yake. Majawabu ya mwalimu au wanafunzi wa A-level yanakuwa 100% correct lakini ya wanafunzi yana-range kati ya 95% hadi 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…