Answering (or trying to) the Religion Question in Tanzania




You sounded more diplomatic rather than bringing the brutal truth.
We all know that …truth hurt. It is common to see person like you trying to manipulate the truth, in an attempt of settle down a sensitive dispute.
You scared to call a spade--A SPADE, instead… you've called a spade--a BIG SPOON.

To be honest..CUF is implicitly Islamic political party whereby most of his members originated from Zanzibar with about 90% Muslim population. The skewed of population, made possible for CUF to gain more sympathy from Muslims religion than even Christians and other beliefs.

Moreover Prof. Lipumba the Chairman has confirmed that, when he said, they(CUF) voted to help JK win the election, because they were afraid he was going to loose, they did so to support their fellow Muslim (JK)to whom they expect more favor/benefits!.

Heavy statement like this from the Political leader can not be masquerading with just a simple comments.

CCM has nothing to do with this.

In some point i agree with you that, Nyerere and his Predecessors are not the one to put all the blame. The problem is more global (not only affect Tanzania. it also affect Kenya, US, Russia, e.tc.)
 
Mda nzuri sana ambayo mletaji alijipanga kwa ufasaha.
Sasa hivi naona watu wanakosa staha na kuvumiliana.

Hii nchi hatuwezi kuendelea kwa kuendekeza udini na ukabila, Mwalimu alituonya juu ya ubaguzi.

Inabidi tuweze kureason mambo na siyo kugeuza kila jambo muhimu kwenye udini. Dini zetu zitusaidie kufikiri na kuishi kwa amani na upendo.

Tuangalie tusiangukie kwenye siasa za majitaka zisizokuwa na manufaa kwa taifa.
 
nakubaliana na mtoa mada kwamba viongozi wetu wa dini wanatumika kama vipande vya sabuni.
Lakini sikubaliani na malalamiko yake mengi alioyaelekeza zaidi kwenye jamii ya kiislam.
Ni vizuri ungekubaliana na mission zilizo tumika kuwafikisha waislam mahala hapo walipo.
Anzia muda mfupi baada ya nyerere kuonyeshwa mipango ya miaka 35 iliopita.
Na baada ya hapo utazame kuvunjwa EAMWS na kuzaliwa BAKWATA.kufilisiwa na kutaifishwa kwa mali za wazawa na wazalendo wa kiislam.nyerere kuzuia pesa ya kujenga chuo ambacho manji amesha nunua kiwanja chake. Kuweka vikwazo vya kiuchumi in islamic city Tabora,tanga an kigoma and along costen part.
Hivi ni kweli kwamba nchi zenye waislam wengi zenye maendeo zimekataa kuwasaidia kiuchumi na kijamii waislam wa tz? Au ni vikwazo(MISSION)?.
 


mimi ni muislam.ila kuna vitu naweza kukubaliana navyo na vingine kuvikataa.
Nakubaliana na hali duni tulionayo ambayo wala haina haja kutaka usawa au kuishinikiza serekali juu ya usawa.
Lakini jamii zingine mfano wakristo huwa wanapenda kuingilia malalamiko ya waislam mfano mahkama ya kadhi oic. Ni vizuri kuziachia mamlaka husika ziamue kuliko kununua mjadala ambao unaamsha hisia na historia za mambo yaliopita.
Mimi kama muislam sipendi kuona viongozi wetu wa dini wakitumika kimaslahi kwaajili ya kaizali.lakini vilevile kusimama na kuwasemea waumini wao kwaajili ya kipande chao kidogo cha mkate.
 
Ni kweli Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…