Antena za gari zina kazi gani?

Antena za gari zina kazi gani?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Kuna gari naona zina antena nyingi sana. Huwa zinawekwa kwa kazi gani
 
Zile antena ndefu ni za radio call! Japo wengine hufunga hizo antena kama urembo.
 
Zile antenna ni za radio call hasa kwa gari za tour coz mtandao wa simu za mkononi ni shida sana ukiwa porini.
Nakumbuka tulipotea njia lake manyara National park na hakukuwa na mawasiliano kabisa.
Ukiwa na radio call au satellite phone inakua poa sana.
Pia kuna antenna kwa ajili ya fm radio ingawa nyingi zinakua hazijaungwa coz mjini radio waves zina nguvu sana
 
Back
Top Bottom