Rais wa Shirikisho la Riadha nchini (RT) Anthon Mtaka amempongeza mwanaridha Ismail Juma iliyefanikiwa kuweka rekodi mpya ya taifa ya Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa na Dickson Marwa tangu mwaka 2008 baada ya kumaliza nafasi ya tatu katika mbio za km 21 zilizofanyika Jijini Mattoni, Jamhuri ya Czech.