ANTHONY BELLEW ampa shavu Hassan Mwakinyo

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kuelekea katika pambano lake litakalofanyika siku ya tarehe 23 March,bondia Hassan Mwakinyo amepata bahati ya kunolewa na bingwa wa dunia katika uzito wa juu ,Anthony Bellew au Tony Bellew .

Hii ni bahati ya hali juu sana kwa Mwakinyo hivyo inabidi apambane mpaka tone lake la mwisho la damu kuhakikisha anashinda.

Ikitokea Mwakinyo atashinda pambano lake dhidi ya Gonzalez, itakuwa ni rahisi kwake kujulikana zaidi kimataifa kwa kupitia mgongo wa Tony Bellew au ukipenda muite Ricky Conlan "Pretty" jina ambalo alilitumia katika muvi ya creed party one ambapo humo walicheza pia mastaa kama vile ;Sylvester Stallone,Gabo Rossado,Andy Ward, Michael Jordan ,Michael Buffer nk.


Hadhi ya Mwakinyo itapanda mara dufu ikitokea atafanya vizuri zaidi kwa kuwa trainer wake (Tony Bellew) ni bondia mstaafu mwenye jina kubwa na kuheshimika zaidi hapa duniani.





*********************************************************



Ila yote kwa yote niseme tu ukweli, huyu Mwakinyo simpendi kichizi ,yani ni mtu wa kujisikia sana bora hata hilo pambano apoteze bila hivyo atatusumbua sana mtaani huyu jamaa.
View attachment tzsportpesa-20190321-0002.mp4View attachment 1050214
 

Hapo mwishon [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekakumbuka kawimbo..chuki ya nini kati yangu Mimi Na wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…