Anthony Diallo anazeeka vibaya

Kipindi hicho magazeti ya musiba ya kutukania wastaafu na viongozi wa dini yanapewa ruzuku leo musiba anaumwa msongo wa mawazo mlipaji mkuu wake hayupo tena, wafanyakazi wake wanamburuza mahakamani miezi 4 awajalipwa.
 

Sawa waongee ila watoe sababu kwanini walishikishwa adabu...wasiseme mtu ni kichaa wakati alikuwa anatekeleza wajibu wake
 
Lakini Mkuu yeye au kampuni zake zililemewa au zilishindwa kulipa kodi,nae akajiongeza kulipa kwa awamu hadi akamaliza deni,hakukwepa kulipa kodi bali alilemewa kulipa kodi.
Diallo anadai mazingira ya biashara wakati wa Raisi Magufuli yaligeuka kuwa magumu,labda ndizo zababu zilizofanya biashara zake ziyumbe.Ugumu wa kufanya biashara tumeusikia sio tu kwake,hata Raisi SSH kasema hayo hayo.Wabunge akina Msukuma wamesema hayo hayo,sioni kama ametenda dhambi bali ameepuka dhambi kwa kuwa mkweli.
 
Sawa waongee ila watoe sababu kwanini walishikishwa adabu...wasiseme mtu ni kichaa wakati alikuwa anatekeleza wajibu wake
Siku zote, wafanyabiashara na wanasiasa wapo kwa maslahi yao, wala sio ya wananchi. Diallo alidhani kumpigia kampeni JPM kwa kutumia TV yake kungemfanya asilipe kodi, alipelekewa bili na TRA mpaka akataka kufunga ofisi zake. ALishika adabu, kwa kifupi.
 
Lakini kwa nini hakuachia ngazi kama anajua yupo kwenye serikali ya kichaa
 
Hakika umeeleza vyema mwenye upeo amekuelewa
 
Pole sana

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufupisho ni kwamba bwana Antony Diallo anazeeka vibaya
Napinga hoja hiyo.Katiba yetu pamoja na mapungufu yake inatoa haki ya kutoa maoni kwa kila mmoja wetu.
Pili kila mtu alijua kuwa kulikiwa na ubambikiaji watu wa kesi mbali mbali ambazo mama yetu hataki hayo mambo yaendelee.
 
Napinga hoja hiyo.Katiba yetu pamoja na mapungufu yake inatoa haki ya kutoa maoni kwa kila mmoja wetu.
Pili kila mtu alijua kuwa kulikiwa na ubambikiaji watu wa kesi mbali mbali ambazo mama yetu hataki hayo mambo yaendelee.
Ila uliisikia kauri ya Diallo?
 
Magufuli kwa nyakati tofauti, akiwa mzima wa afya alifanya mengi mazuri.
Lakini siyo siri kuwa dalili mbaya ya mambo mabaya aliyofanya , zinazothibitisha kuwa na faili Mirembe ndio zimemuondolea yote mazuri aliyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…