Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

https://jamii.app/JFUserGuide Anthony, https://jamii.app/JFUserGuide Britsh
 
Tyson Fury kakubali kudance na AJ.. tusibiri hiyo.
 
Afadhari ya Fury, wasimharakishe kupigana na Deotany Wilder, WBC champ, atapigwa vibaya anamengi ya kujifunza bado. Ushindi wa Leo ni kutokana na uzee wa Vladimir.
Kweli kaka mapungufu yake yalikuwa yanaonekana wazi hata kwa mtu asiye na ujuzi mwingi wa mchezo.kudos to him tho,ujana umembeba.mind games za klitchko zilifeli
 
Lakini mkuu.. aliyekula mingumi nimeona kama ni klichko??[emoji15] au TV yetu tu
Hata Mimi na majaji wengine tumeona hivo ila mchizi sijui kawaje round 11, yaani kapigwa kama kapuliziwa dawa,. Yaani kammudu round zote ila tu ya 11, afu dogo naye nafanya kama marehemu Muhammad Alli ,michezo ya kumtegea opponent
 
Hata Mimi na majaji wengine tumeona hivo ila mchizi sijui kawaje round 11, yaani kapigwa kama kapuliziwa dawa,. Yaani kammudu round zote ila tu ya 11, afu dogo naye nafanya kama marehemu Muhammad Alli ,michezo ya kumtegea opponent

Anha sikukuelewa mkyu nikajua ngumi ndio zinakuuma.
 
Nampa pongezi nyingi A.J kwa kushinda pambano la leo...ila nilitamani sana kuona huyu Wladimir anamtandika kisawasawa huyu muingereza maana mda wote comentators walikuwa wanatamka Joshua Joshua as if pambano lilikuwa ni Joshua vs Joshua.
 
stamina imechukua nafasi AJ angemalizwa round 5 ambapo klitcho alimuotea .Sema kijana yuko vizur mzee pia nae kajitahd kufika round hyo.Aj ana heavy punches sana.
 
Nimefurahi kijana mwenzangu,Muafrica mwenzangu umeshinda pambano "gumu" kwani huyo mzungu tunamjua,pambano ambalo kila mtu na hata sisi weusi wenzio tulijua unakalishwa hasa pale ulipolegezwa Na makombora mazito ya yule mzungu.
Kiufupi unajua kuzichapa ila ombi langu kama unajua kiswahili Mimi ndugu yako katika "Ngozi" naomba hebu Nenda kalifanyie kazi swala la "pumzi" usije ukatutia aibu ..pumzi huna kabisa Mkuu.
Ww mwenyewe unajua kwamba sifa yetu africa imebaki ktk ngumi tu kutengeneza "missiles" hatujajaaliwa bado.Yaani pambano la Leo kama ungekutana Na mtu kama Tyson, Haya maneno yako "Can I go home" ungeenda kuyatamkia hospitalini St Thomas.
 
kitambo nikiw dogo kuna pambano nililifumania liko mwishoni ila nachokumbuka yule boxa alikuwa ni black alikuwa na kasi ya ajabu halafu mikono yake ilikuwa muda wote iko chini,yani haweki guard ila anatia ngumi mbaya,,sikuwah kumfahamu asee,mwenye kumjua tafadhali
 
Hahahahah ila kijana makonde yake si mchezo yanaujazo kwelikweli
 
Ni kweli hana pumzi lakini inategemea anapambana na nani maana kwa yule klitschko jeb yake tu ni sawa na konde.

Nilichopenda na kumsifu AJ ni anajitambua na anajua kusoma mchezo. Alipoenda chini....round zilizofuata alikua mpole akivuta pumzi. Matokeo yake alipokuja kucharge nadhani hata klitschko hakutegemea.

Hongera zake kijana kwa kweli maana hata hayo mapambano aliyopigwa klitschko hukuwahi kukalishwa kibra kama leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…