Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kumkubali Wilder,anapigana kwa fujo sana bila timing,tatizo boxer anaokutana nao hawana mbinu...akikutana na AJ haki ya Mungu yule Chinga ataogelea mingumi mpk ataacha kubwabwaja bwabwaja kama mlinzi wa Hospitali...Hongera kwake, tunasubiri pambano na Deontey Wilder.
Sijawahi kumkubali Wilder,anapigana kwa fujo sana bila timing,tatizo boxer anaokutana nao hawana mbinu...akikutana na AJ haki ya Mungu yule Chinga ataogelea mingumi mpk ataacha kubwabwaja bwabwaja kama mlinzi wa Hospitali...
Let us wait and seeWewe mshabiki ndo unaongea, kambi ya AJ inaogopa kupoteza game.
Inaweka masharti magumu, ila ipo siku tu.
TKO ndio hiyo hiyo K.OJoshua kashinda TKO siyo KOs
Mtanzania ni Mimi hapa Arafati Ngumi Jiwe,Dah nikajua nae mtanzania Jamani
Mrusi angeshinda ingependeza sana mkuuRound za mwanzo alikuwa anajisahau anamsogelea mnyama Povetkin ambaye speed na uzito wa ngumi zake ni hatari tupu ...
Pay per views ndio mpango mzima kwenye kutengeneza pesa. Ndio maana majadiliano ya pambano la Wilder na AJ yalivunjika.Nashangaa huyu myoruba Joshua hajamzidi kale kameiwather utajir.
Nafikiri AJ amepata fundisho baada ya kutolewa damu za pua.Hongera kwake, tunasubiri pambano na Deontey Wilder.
Mbona offer aliyokubali Wilder against Tyson Fury inasemekana ni ndogo kuliko offer aliyopewa na Anthony Joshua? Tatizo Wilder anataka kupata umaarufu kwa mgongo wa Anthony Joshua.Wewe mshabiki ndo unaongea, kambi ya AJ inaogopa kupoteza game.
Inaweka masharti magumu, ila ipo siku tu.
Wilder anataka malipo karibia sawa na Anthony Joshua na hataki rematch kwanini?Let us wait and see
mswahili yule,mudomo murefu kama mkwereWilder anataka malipo karibia sawa na Anthony Joshua na hataki rematch kwanini?
Eti anagoma kusign contract kwavile venue na date haijatajwa! Si anapiga kelele yupo tayari any time!
Wilder ana maneno mengi kama kazaliwa Tandale bana ...
ThubutuuuIna maana hapa Tz mabondia wetu hawana uwezo wa kupigana na hao kina Joshua? Au tatizo nini?