Noma sana mzee. Hii class division unapigwa tofali moja mchezo unaisha hapo hapo.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2928877
Ulikuwa sahihi.Weka dau….
Mi nasema AJ by KO.
Nakubaliana na wewe.Ngannou alipaswa kupata mapambano at least matano kwanza kabla ya kurukia kupigana na Tyson Fury na Anthony Joshua.
Haiwezekani kabisa Anthony Joshua kwenda kwenye MMA na pigano lake la pili apigane na Francis Ngannou.
AJ is good man. Fit and tough. Alishangaza dunia alivyo kalishwa na Andy Ruiz . Dude alikuwa anatawala pambano.Props to Anthony Joshua for getting the job done. Respect Ngannou amehandle kila kitu kama mwanaume.
Ngannou aliihitaji kupata hii loss tumfahamu yeye ni nani hasa. Congrats amehandle post fight vizuri na anaonekana yupo sawa.
Muda sasa wakupumzika na kustrategize nini atafanya miezi michache inayokuja.
Sina mashaka atakuwa sawa na ataendelea na boxing japo umri unasogea 37 sasa.
Yote kwa yote ameondoka na pesa nzuri 20m+ it's a lot of money.
Nikirudi kwa Anthony Joshua, huyu jamaa namkubali awe amepoteza pambano au ameshinda.
Ana utu sana. Huwezi ondoa hiyo from Anthony.
Don't let a win go to your head or loss go to your heart.
Usyk vs Furry lini?
Mimi sitaiangalia hiyo ya Tyson vs Paul.Ulikuwa sahihi.
Haya Tabiri, tena kati ya Iron Mike Tyson na huyu Cool Kid Paul Jake .
Tyson atakula cash auze pambano? Au Kid ataongezeka ktk list ya mchwa walio wahi kuangusha mbuyu.
But just Wish the Iron ,60 Y.O apige hiki kitoto
Vipi, unadhani Joshua akienda kwenye MMA halafu amchallenge Jon Jones au Tom Aspinall, matokeo yatakuwaje? 😀Nakubaliana na wewe.
Kimsingi ilipaswa iwe hivyo ili tufahamu je kweli Ngonnou anastahili kupata hype aliyopata kwa pambano moja tu kwenye boxing.
Hatahivyo, boxing inaangalia pesa na ilikuwa wazi mashabiki walitaka waone tu je MMA figher heavy weight champion of the world ataweza fanya kitu kwenye boxing?
Kulikuwa na msisimko fulani kila mtu anataka Fury/Ngannou.
Lakini ukiangalia vizuri Fury/Ngannou ilikuwa all about money na si kingine zaidi ya hapo.
Furry ni heavyweight champion of the world. Alitakiwa Fury/Usyk.
Yote kwa yote, pambano zuri.
Kila kitu kipo wazi sasa.