Tusubiri tuone lkn huyu jamaa Miller ni habari nyengine. Binafsi nampa nafasi kubwa ya ushindi. AJ atachezea makonde ya maanaMust watch game!! Ila AJ atashinda hili pambano japo miller si wa kumbeza kivile kwangu AJ ndio bondia bora kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utatuambia mkuu, sijamdharau miller ila karata yangu naitupa kwa AJTusubiri tuone lkn huyu jamaa Miller ni habari nyengine. Binafsi nampa nafasi kubwa ya ushindi. AJ atachezea makonde ya maana
Sent using Jamii Forums mobile app