Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpuuzeni huyo mwehu
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara
Mtumishi wa Mungu Anthony Lusekero (Mzee wa Upako) amefunguka jana Septemba 4, 2024 kupitia Global TV na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna Msemaji aliyefikia kiwango cha Haji Manara.
Manara ni mropokaji sio msemaji, alihamisha mpira kutoka kwenye mchezo wa burudani, ushikamano na uungwana kwenda kwenye mchezo wa uadui na vita. Angalia kwasasa hali ilivyotulia, Ibwe, Kamwe na Ahmed Ally wameufanya usemaji sio vita bali ni sehemu ya utani na burudani. Wanakaa meza moja wanafanya kazi moja huku wakitupiana vikombola vya hapa na pale kama sehemu ya utani.Hii ni kweli kabisa na kwa bahati mbaya nguvu kubwa sana imetumika na inaendelea kutumika kumpoteza jamaa
Manara na Jerry Muro walikuwa wanataniana kama kawaidaManara ni mropokaji sio msemaji, alihamisha mpira kutoka kwenye mchezo wa burudani, ushikamano na uungwana kwenda kwenye mchezo wa uadui na vita. Angalia kwasasa hali ilivyotulia, Ibwe, Kamwe na Ahmed Ally wameufanya usemaji sio vita bali ni sehemu ya utani na burudani. Wanakaa meza moja wanafanya kazi moja huku wakitupiana vikombola vya hapa na pale kama sehemu ya utani.
Manara anachoweza ni kuwakosanisha watu tu na kuwagawa watu, kwa kuropoka bila kujua athari ya kile anachoropoka.
Ishu ni kufanya kazi ki professional jambo ambalo Manara kwake linaonekana wazi kulishindwa.Manara na Jerry Muro walikuwa wanataniana kama kawaida
Haya mapungufu huwa yapo "once you dig dirty you will always come out with dirty "Ishu ni kufanya kazi ki professional jambo ambalo Manara kwake linaonekana wazi kulishindwa.
Mapungufu yake binafsi au matatizo yake binafsi anapenda kuhusisha na taasisi ya Yanga. Mfano ishu yake vs Karia.
Mambo ya uswahili, yeye anajiona mjanja wa mjini wakati age imeenda jambo linalomfanya kutokuwa na hekima na busara, lile tukio la utambulisho wa wachezaji yeye kukazania Mobeto aje uwanjani ndipo niligundua huyu ni mtu mzima lakini ni wa ovyo.
Kujiona yeye ndio mkubwa na kila kitu, watu walimkatisha kwa kulazimisha Pacome aje mbele aje mbele kwa upotevu wa muda ila jamaa akatamka kuwa hatoki mpaka Pacome aje. Kuna mambo ya kiitifaki ila yeye kwake hilo halipo.
Yanga imekuwa na urafiki na Kaizer Chiefs ila mropokaji baada ya mechi Yanga kushinda goli nne akaropoka maneno ya kuwaudhi mashabiki wa Kaizer Chiefs.
View attachment 3087791![]()
'Kaizer Chiefs will not dream of inviting Yanga SC again!' Manara claims Amakhosi could have lost 8-0 | Goal.com
Haji Manara claims Yanga SC could have beaten Kaizer Chiefs 8-0 in the Toyota Cup.www.goal.com
Nguvu gani imetumika kumpoteza Manara na nani anataka kumpoteza? Manara ni tabia zake imefika hatua system imemkataa yenyewe, Umma ndo umemkataa katika usemaji wa vilabu.Hii ni kweli kabisa na kwa bahati mbaya nguvu kubwa sana imetumika na inaendelea kutumika kumpoteza jamaa
Labda kama kwenye uhamasishaji lakini sio kwenye usemajiHaya mapungufu huwa yapo "once you dig dirty you will always come out with dirty "
Ukiamua kuangalia upande mzuri wa Manara nao utaona hata kina kamwe na na wengine wamekuwa wakikosea sana ila sababu wanapimwa na Manara ndio wanaonekana hawana shida
Anyway pamoja na mapungufu hayo ila nakubaliana na lusekelo
Caria na magenge ya kina hers ndio yamemuondoa ila alijitahidi kwenye kazi yakeNguvu gani imetumika kumpoteza Manara na nani anataka kumpoteza? Manara ni tabia zake imefika hatua system imemkataa yenyewe, Umma ndo umemkataa katika usemaji wa vilabu.
Alivyorudi baada ya kufungiwa alifanya press na kujigamba amerudi kwenye kiti chake Ally Kamwe akajiuzulu siku chache mbele lakini mashabiki wa yanga hawakuridhika walitaka Ally kamwe aendelee na uongozi ukamrudisha watu wa Yanga wangekua wanamtaka Manara wasingelalamika hadi Kamwe akarudishwa kazini.
Tatizo la manara ni tabia ya kujiona bora kuliko mtu yoyote na ni mtu ambae ana chuki za wazi wazi leo ni rafiki yako ila kesho ukipishana nae kauli jiandae kutukanwa na mambo yako kuwekwa hadharani kitu ambacho kuna muda ukifika watu wakikugundua watakuepuka
Mzee utaki kukubali kuwa mashabiki wa Yanga ndio waliokuwa wanamkataa Manara. Humu JF tu kuna nyuzi kibao na comment kibao tu za wadau wakionesha hawataki kurejea kwa Manara ndani ya Yanga. Upepo wake umeshakata hana mvuto tena kwa watuCaria na magenge ya kina hers ndio yamemuondoa ila alijitahidi kwenye kazi yake
Na LAZIMA apotee kwasababu ni fala tu!Hii ni kweli kabisa na kwa bahati mbaya nguvu kubwa sana imetumika na inaendelea kutumika kumpoteza jamaa