Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee

Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee

Mjomba side

Member
Joined
May 3, 2024
Posts
72
Reaction score
96
"Kwanini watu wanapotea potea mnaiibua jambo la mganga… Unajua kunakuhamisha upepo watu wachanganyikiwe… "

"Tuache nchi ipumue, watu waongee" amesema Mchungaji Anthony Lusekelo akizungumza tarehe 04 Septemba 2024 na wanahabari kuhusu masuala ya watu mbalimbali kupotea katika siku za hivi karibuni.

- Anthony Lusekelo: Mtu amechana tu picha ya Rais, ametekwa
-
 
Luse enzi zako za shughuli chafu ulipoteza wangapi ?
 
Kifupi wanaopotezwa hawana madhara yeyote kwa Taifa, tunatumia nguvu kuubwa Kwa issue ndogo ndogo sana ambazo kudeal nazo unahitaji akili tu.

Hii tabia tukiizoe sana itakwenda mbali sana na kuleta madhara makubwa sana ambayo kuyaondoa itakuwa gharama kubwa sana.

Wahusika wa utekaji wanapaswa kujua wao ndio wanakwenda kuwa hatari kwenye usalama wa nchi, maana kupitia tabia hii tunaweza kuzusha mengine makubwa yanayoweza kuleta madhara makubwa sana.

Kuna siku watekwaji nao watachoka na kuamua kujilinda either kwa kuwalinda targets, au na wao kulipa kisasi.
 
Lipo tatizo kubwa Sana kwa Watawala wa Afrika, hawautaki kabisa kusikia mawazo mbadala na matokeo yake wamezigeuza nchi hizi za ki-Afrika kuwa siyo mahali salama na Wala siyo mahali pazuri pa kuishi hapa duniani.
Kutokana na hii tabia mbaya waliyonayo watawala wa nchi hizi za Afrika, wameligeuza bara hili kuwa ni Jehanamu ya hapa duniani. Very sad indeed!
 
Labda hujaijua nguvu iliyojificha ya MZEE WA UPAKO.
huyu sio mwenzetu
Wa kawaida sana, alikuwepo zachari kakobe, alikuwa alienda congo nchi nzima wanasimamisha kazi Ili kumfuatilia ije kwa huyu mnyalu
 
Wa kawaida sana, alikuwepo zachari kakobe, alikuwa alienda congo nchi nzima wanasimamisha kazi Ili kumfuatilia ije kwa huyu mnyalu
Unamlinganisha Kakobe na Lusekelo?
Lusekelo ni mchwa a.k.a mjusi
Ukiuzoe mji utanielewa.
 
Mimi nimezaliwa hapa na kukulia hapa, mpaka Sasa ni Mzee namfahamu vizuri kijana wangu
Unaweza kuwa na umri mkubwa lakini bado hujakua.
Huenda unamfahamu Lusekelo lkn huifahamu kazi yake...
nje na imani yake
 
Back
Top Bottom