Anthony Martial ashinda tuzo ya Golden Boy (Mchezaji Bora wa Watoto)

Anthony Martial ashinda tuzo ya Golden Boy (Mchezaji Bora wa Watoto)

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
31,559
Reaction score
42,179
Mchezaji machachari wa mancheater united Martial ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa watoto maarufu kama Golden Boy. Tuzo hii huchaguliwa na kura za waandishi wa habari za michezo barani ulaya

image121.jpg

Baadhi ya wachezaji waliowahi kutwaa hii tuzo ni kama Messi, Fabregas, Aguero na Gotze, Rooney, Pogba na Anderson.

maoni yangu
Huyu mtoto kila siku anaprove watu wrong, na nafikiri Monaco hawakuwa wajinga kumuuza kwa bei rahisi huku dau lake likiwa na uwezekano wa kupanda hadi dola za kimarekani milioni 80. Kama ataendelea hivi soon atakua mchezaji bora mdogo uingereza na miaka ya baadae atakuwa kati ya wachezaji bora zaidi duniani.

Tuzo hii ni ya pili toka aje Man united, Tayari ameshachukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.

HONGERA MARTIAL
GGMU

Source
http://www.manutd.com/en/News-And-F...oy-award-for-best-young-player-in-Europe.aspx
 
Yes, ana kipaji. Pale Man U wakimtafutia namba 10, 8, 7, na 11 wazuri ... It is a matter of time tu tutamuona akifikia level ya juu kabisa.
 
Yes, ana kipaji. Pale Man U wakimtafutia namba 10, 8, 7, na 11 wazuri ... It is a matter of time tu tutamuona akifikia level ya juu kabisa.

Mi naona kama anacheZa vizuri akitokea pembeni. Magoli yake mengi anatokea pembeni na kufunga kama Henry. Pia ana uwezo mkubwa wa kutoa pasi za magoli hivyo angetafutiwa namba 9 mzuri hasa mpiga vichwa kama Gomez, Cavani, na wachezaji wengine type hio.

I hope timu itaundwa kumzunguka yeye.
 
Au giroud
 
Huyu mtoto kila siku anaprove watu wrong, na nafikiri Monaco hawakuwa wajinga kumuuza kwa bei rahisi huku dau lake likiwa na uwezekano wa kupanda hadi dola za kimarekani milioni 80.

Naungana nawe na wadau wote wapenda soka kumpongeza Martial kwa kutwaa tuzo.

Ila mkuu hapo nilipokoleza maandishi ulitaka kusemaje?
 
teh teh teh Martial ndio superstar wa man u KUTOKA BECKAM hadi depay ha ha ha ha ha kutoka 1999 kuchukua trebo had 1:2 dhidi ya Norwich tena O.T pamekuwa zizini badala ya machinjion
 
Naungana nawe na wadau wote wapenda soka kumpongeza Martial kwa kutwaa tuzo.

Ila mkuu hapo nilipokoleza maandishi ulitaka kusemaje?

Martial amenunuliwa around pound milioni 24 hadi 36 kutokana na source tofauti ila dau lake linaweza kupanda hadi pound milion 58 (euro milioni 80 au dola milioni 87)

Vitu vitakavyofanya manchester walipe hio hela ni
-kama atakuwa mchezaji bora wa watoto
-kama atakuwa mchezaji bora wa ligi wa wakubwa
-kama atakuwa mchezaji wa dunia (baloon d or)
-kama atakuwa mfungaji bora.

Kwa kifupi kila tuzo anayobeba man united watawalipa monaco kwa maximum ya pound milioni 58.

Ndio maana nikasema monaco sio wajinga kuweka vipengele kama hivyo sababu wanajua dogo ana uwezo wa hadi kuwa mchezaji bora duniani.
 
kwel man u ya kumtaman giroud kwel ile MAN U YA BABU KWISHNEY

Giroud kwenye timu inayopiga cross kama man u anafunga 20 goals kila msimu.

Sasa hivi man u ina depay, mata, rooney na sometime herrera kule mbele wote ni vi andunje hivyo ni ngumu kucheza mfumo wa kupiga cross

Ila kama unamueka giroud mbele na kumuekea watu watakaomlisha kama young, rooney, herrera na valencia utamsahau giroud.
 
Martial amenunuliwa around pound milioni 24 hadi 36 kutokana na source tofauti ila dau lake linaweza kupanda hadi pound milion 58 (euro milioni 80 au dola milioni 87)

Vitu vitakavyofanya manchester walipe hio hela ni
-kama atakuwa mchezaji bora wa watoto
-kama atakuwa mchezaji bora wa ligi wa wakubwa
-kama atakuwa mchezaji wa dunia (baloon d or)
-kama atakuwa mfungaji bora.

Kwa kifupi kila tuzo anayobeba man united watawalipa monaco kwa maximum ya pound milioni 58.

Ndio maana nikasema monaco sio wajinga kuweka vipengele kama hivyo sababu wanajua dogo ana uwezo wa hadi kuwa mchezaji bora duniani.

Mkuu,nimekuelewa vema.
 
Back
Top Bottom