Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mchezaji machachari wa mancheater united Martial ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa watoto maarufu kama Golden Boy. Tuzo hii huchaguliwa na kura za waandishi wa habari za michezo barani ulaya
Baadhi ya wachezaji waliowahi kutwaa hii tuzo ni kama Messi, Fabregas, Aguero na Gotze, Rooney, Pogba na Anderson.
maoni yangu
Huyu mtoto kila siku anaprove watu wrong, na nafikiri Monaco hawakuwa wajinga kumuuza kwa bei rahisi huku dau lake likiwa na uwezekano wa kupanda hadi dola za kimarekani milioni 80. Kama ataendelea hivi soon atakua mchezaji bora mdogo uingereza na miaka ya baadae atakuwa kati ya wachezaji bora zaidi duniani.
Tuzo hii ni ya pili toka aje Man united, Tayari ameshachukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.
HONGERA MARTIAL
GGMU
Source
http://www.manutd.com/en/News-And-F...oy-award-for-best-young-player-in-Europe.aspx