kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Habarini za jioni wakubwa?
Leo katika jukwaa la michezo nmependa kuchangamsha kwa style hii
nmeleta uzi kumuhusu huyu fundi wa mpira aliyecheza mwadui na team zingne za daraja la kati.
kwakweli ukimuangalia Antony anacheza mpira utaona mpira ni rahisi sana ni mchezaji mrefu sana mwembamba mara ya kwanza namuona kabla hajagusa mpira nilimdharau lakini alipogusa nilishawishika kumtazama ana miguu mwembamba sana ila ananguvu za miguu sana .
Hakina huyu mtu alifaa apite simba na yanga lakini nashangaa kumuoma GWAMBINA FC tena akichezeshwa beki namba 5 kiufupi ni kiungo mzuri sana na anauwezo wa hali ya juu mno
binafsi namuelewa sana ni uyo anaekaba mpira kashikilia jezi nyekundu