Anthony Mtaka ni kama Chris Mauki tu

Anthony Mtaka ni kama Chris Mauki tu

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Ukimfuatilia Mtaka utagundua ni aina ya wale watu wanaotafuta UMAARUFU kwa kutoa maneno yanayowafurahisha watu na kutafuta mifano mingi na kuizungumza kwenye jamii/ mikutano.

Na mwisho wanajizolea umaarufu kuwa ni viongozi mahiri sana. Ukija kwenye matokeo ya nafasi za uongozi unakuta hakuna alichokifanya.

MTAKA AMEPATA UMAARUFU LAKINI UKIAMBIWA NI KIPI KIKUBWA ALICHOKIFANYA NI HAKUNA.

NI KAMA CRIS MAUKI TU ALIVYO MAARUFU KWA KUWAFURAHISHA KINA MAMA ila la maana hakuna
 
Huenda hao wanao msifia Kuna namna kagusa maisha Yao hata kama sio kwa ukubwa
 
Motivation speakers
Nilimsikia mtaka akitoa analysis ya kijiweni,eti wafanyabiashara wakubwa nchini wanatoka njombe. Sababu eti kariakoo Kuna wakinga wengi

Tangu hapo nilimdharau sana

Takwimu halisi iko TRA nani ni mlipakodi mzuri
 
Back
Top Bottom